China: Fraud phone suspects wamerudishwa China, kunyongwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

China: Fraud phone suspects wamerudishwa China, kunyongwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, May 24, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wakati sisi Tanzania tunawachekea wezi wanaotumia simu na mitandao ya internet kuwaibia watanzania,uchina ni tofauti. leo wachina 126 waliokamatwa nje ya uchina wamepeleka uchina tayari kujibu mashitaka ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu,

  Tukumbuke kuwa mwaka 2009 pia wachina wawili walinyongwa kwa kesi kama hiyo

  BEIJING // China has executed two people for defrauding hundreds of investors out of millions of yuan in beauty parlour, cosmetics and property scams, crimes which the government described as a serious blow to social stability. The two executed fraudsters, Du Yimin and Si Chaxian, "seriously damaged the country's financial regulatory order and social stability", the supreme people's court ruled.
  IMG_20120524_144012.jpg
  IMG_20120524_144036.jpg
  IMG_20120524_143946.jpg

   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  wewe unashabikia watu kwenda kunyongwa! kwani hakuna azabu nyingine adi kuwanyonga?
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  waulize wachina,kwani mimi ni msemaji wa uchina?
   
 4. Nyokamzee

  Nyokamzee Senior Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwann? Sisi tusiwakamate watuhumiwa wa ufisadi tuwanyonge? Au sheria yetu imexpire?
   
 5. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  mimi ndie msemaje wao.
  Kwani wewe unaionaje?mbona ipo poa tu.
   
 6. s

  sugi JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  mawazo hayo ndo yanatufanya maskini wa kutupwa mpaka leo,viongozi wanakwiba mali za wapiga kura,halafu wanaogopwa kudaiwa,haya hebu r
  Linganisha uchumi wa tanzania na china,ambao wapo serious na wezi!kimsingi huwezi kuwachagulia wachina cha kuwafanya wezi wao,wanajua wanachokifanya,ndo maana wapo juu sana kiuchumi,ni level nyingine kabisa,acha ss tuendelee kubembelezana maana
  Tunachokiweza ni kuomba misaada tu,ambayo asilimia kubwa huishia mikononi mwa wenye peni za kuandikia mikataba
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Tena hapa wanajaa kweli kweli, juzi juzi Clouds FM ilirusha kipindi cha hawaa jamaa wanavyo tapeli watu kupitia mitandao ya simu, lakini mpaka sasa hatujasikia akikamatwa mtu na nna uhakika wanajulikana.
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  yaani kama tungewakabidhi wachina kupambana na walarushwa,matapeli na madawa ya kulevya,hii nchi ingenyooka na ndani ya muda mfupi tu tungesonga mbele.

  hebu jiulize,kwanini wachina tuliowasaidia chakula miaka hiyo,leo wapo juu kiuchumi kuliko sisi?
   
 9. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Mmmmmmmh!
   
 10. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wanatisha kwa kweli...............

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kulikoni mkuu
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kaka hii brazil bwana acha kutudanganya
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. k

  kihami Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mushahara wa dhambi ni mauti wanyonwe tu hao
   
 14. Sunday Ngakama

  Sunday Ngakama Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ya Saudi Arabia ndio inatisha zaidi, yaani hata huyo anayeua sijui anakuwa na moyo mgumu kiasi gani!!


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...