China: Bilionea ahukumiwa kunyongwa kwa rushwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Lai Xiaomin, mfanyabiashara mkubwa wa #China ambaye pia ni kiongozi wa Chama amehukumiwa kunyongwa baada ya kukutwa na hatia ya rushwa ya takriban Tsh Bilioni 643.

Mahakama imesema alijihusisha na vitendo vya rushwa kwa miaka 10, tangu 2008 ambapo alikuwa anapokea ili kuwapa watu kazi, kuwapandisha madaraja au kuingia mikataba.

Lai alianza kuchunguzwa 2018 ambapo pia alifukuzwa uanachama wa Communist Part of China, Kwa mujibu wa Shirika la Amnesty, China ni nchi inayonyonga watu wengi kuliko nchi yoyote.

========

A Chinese court has sentenced a former banker and party official to death, in a high-profile bribery, embezzlement and bigamy case that has shocked the country.

Lai Xiaomin, previously chairman of one of China’s “big four” state-controlled asset management firms, China Huarong Asset Management Co, had pleaded guilty to the dozens of charges. He had been accused of soliciting almost 1.79bn yuan ($276.7m) in bribes over 10 years, a period when he was also acting as a regulator.

The Tianjin court said Lai had abused his position to obtain the “extremely large” bribes, and the circumstances were “particularly serious”, including taking bribes to get people jobs, promotions or contracts.

He was also found guilty of bigamy, for “living as man and wife” with another woman and fathering children, and of embezzling more than 25m yuan in public funds.

“Lai Xiaomin was lawless and extremely greedy,” the court statement said. He will also have personal assets confiscated and be stripped of his political rights.

The death sentence for Lai, in one of China’s biggest financial crime cases, was handed down without a two-year reprieve – a commonly added caveat that allows death sentences to be commuted to 25 years, or life in prison after two years.

Lai was placed under investigation in April 2018 and expelled from the Chinese Communist party. State media broadcast a detailed confession by Lai, who said he “did not spend a single penny, and just kept it there … I did not dare to spend it”.

The Tianjin court said Lai’s crimes mostly occurred after the 18th Communist party congress in 2012, which had launched an anti-corruption drive that has defined the president, Xi Jinping’s, tenure. During Xi’s campaign, millions of officials have been investigated or punished, and there have been accusations it has been used to get rid of political opponents.

The campaign has had little effect on China’s rankings in Transparency International’s global corruption index, where the country sat at 80th in 2020, but it has won favour among the population, with 84% telling Transparency International the government was doing well in tackling corruption.

While the crimes for which Lai was convicted outstrip those of higher-ranking corrupt party officials, economic crimes usually attract a prison term, or a two-year reprieve with a sentence. Mo Shaoping, a Chinese lawyer, said the scale of Lai’s crimes gave “legal justification” to the death penalty, but he was the first such person in recent years to be sentenced without the possibility of commutation. “The death penalty with reprieve is no longer enough for the anger of citizens, nor is it sufficient for deterrence,” he said.

According to Amnesty International, China executes more people that any other country. Beijing does not disclose death penalty figures, but is believed to put to death thousands of people a year for crimes including non-violent offences such as drugs and corruption.
 
Aisee macho madogo hawana utani kabisa, Raia anaogopa kupokea hata pipi ya rushwa, hatari sana hii.
 
Jamaa atanyongwa na kuacha pesa zake wakila watu baki.
 
Watu waliotoa Rushwa mbona hawaonekani Mahakaman nao wapate hukumu.
 
Unaposema unapigana na ufisadi ni lazima uoneshe mifano, rushwa huwezi kuiondoa kwa 'visheria' vya kufunga mtu miaka 3 au mitano. Ni lazima mtu acheze kamari anapotaka kutoa au kupokea rushwa. China ipo hapo ilipo kwa machozi, jasho na damu, maendeleo ya nchi si lele mama.

Nilicheka sana kusikia agenda ya uchaguzi ya yule 'mbobezi' eti kazi na bata. Hakuna bata kwenye kazi.
 
Watu waliotoa Rushwa mbona hawaonekani Mahakaman nao wapate hukumu.
Inategemeana na nchi na sheria zake jinsi zilivyo.

Utaratibu wa kisheria unaweza kuruhusu watoa rushwa kujitolea kutoa ushahidi wa jinai dhidi ya mpokeaji, na kwa kufanya hivyo wanaweza kupunguziwa adhabu ama kuto adhibiwa kabisa ikiwa ni njia ya kuzuia raia wengine kupokea rushwa maana nao watahofia kutolewa ushahidi mahakamani na aliyetoa rushwa.
 
Huwa nashangaa mno watu wanavyodai hapa nyumbani hatuna demokrasia,

Hawajui tu namna Mungu alivyotupendelea,

Kuna nchi kuwa na Uhuru kama huu tulionao ni luxury.

Mfano mdogo tu hata hapo philippines yule Rais duterte alivyokua anapambana na madawa ya kulevya yaani ukihisiwa tu wanakumaliza mchana kweupe kwa risasi,

Jamaa walikua na kikosi maalum na orodha ya watumiaji na wauzaji wa madawa, ni mwendo wa kuwaeliminate tu kwa kufuata orodha. Acha kabisa.
 
Back
Top Bottom