Naam,nilikwambia aya zinashuka kwa matukio ukisoma aya na ukasoma na sababu ya kushuka kwa aya huwezi kuuliza swali hili na hili swali nimeshakujibu.Sawa ni maneno ya Allah na Allah anasema mwenyewe moja kwa moja , mwenyezi Mungu awaangamize
Ndiyo maana yakawa ni maneno ya Allah akapewa Mtume kisha akawaambia maswahaba zake.Kumbuka Aya maneno Allah aliyatamka kabla ya muhammad kuwepo
Hoja yako iko wapi hapo ?