Chimbuko la Uislam na Karen Armstrong

Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,397
2,000
Sawa ni maneno ya Allah na Allah anasema mwenyewe moja kwa moja , mwenyezi Mungu awaangamize
Naam,nilikwambia aya zinashuka kwa matukio ukisoma aya na ukasoma na sababu ya kushuka kwa aya huwezi kuuliza swali hili na hili swali nimeshakujibu.
Kumbuka Aya maneno Allah aliyatamka kabla ya muhammad kuwepo
Ndiyo maana yakawa ni maneno ya Allah akapewa Mtume kisha akawaambia maswahaba zake.

Hoja yako iko wapi hapo ?
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,276
2,000
 • Hakuna point , kasema silifutwa ila unyonyeshaji ulikuwepo
 • Nani kafuta na wapi kwenye koran tunasoma zilifutwa, Muhammad kafa kaziacha
 • Aisha anasema allah alipunguza kunyonyesha mtu mzima kutoka mara 10 kwenda mara 5 na sio kufuta
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....

Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
Hakuna sehemu kwenye hiyo video jamaa anaposema zilifutwa, sjajua umetolea wapi hayo mawazo ila all in all kaangalie video.

Video haina hata dakika nyingi hebu kaiangalie halafu uje hapa.

Maana inavyoonyesha haujaangalia hiyo video points zoote unazozitaja hapo zimekuwa debunked hapo easily .
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,276
2,000
Achana nae huyu kakarishishwa vitu hlf hta hajui ukweli wake
Hataki kupinga hoja kwa hoja nimemuwekea video ya dakika chache tu jamaa anaitwa "farid"amesoma kweli na haya maswali wanayoyaleta hapa yalishawahi kuulizwa na wakina "david wood" wakristo wenye itikadi kali.

Kingine wanachoshindwa kuelewa wanaouliza haya maswali ni kuwa si kila ahadith iliyo kwenye vitabu vikubwa vya hadith ni sahih zipo ambazo ni dhaifu pia maana haijatimia ki "sanadi" na "matini" na ndiyo maana huwa hazifuatwi.

Kuna point niliona pia ameongelea kuwa suleiman alitengenezewa masanamu na akaweka na aya .
Aliloshindwa kujua ni kuwa Allah ( the exalted one) huwa anaruhusu anayoona yanafaa kwa muda husika na pia kukataza anayoona hayafai kwa muda huo na kila umma upo tofauti na mwengine usishangae yaliyoruhusiwa umma wa nuhu yakakatazwa umma wa ibrahim au musa, swali linakuja je? Suleiman aliabudu hayo masanamu? Jibu ni hapana yalikuwa kama urembo na akiruhusiwa yy na umma wake maana hakuna aliyeabudu hayo masanamu hekina anaijua Allah .

Kingine pia ukiangalia watu waliokuja mbele baada ya nabii idrisa(alley ssalam) kupita walikuwa wametengeneza masanamu ya wachamungu hawa Lata, uza, Manata na nasra (baada ya iblisi kuwadanganya) wakawa hawayaabudu ila waliokuja mbele yao wakayaabudu (mwanzo wa polytheism) ndipo nuhu( Alley ssalam) alipokuja kuwalingania tena waachane na ibada hizo ,umati wetu huu umekatazwa hata kuchora tu picha.

Mfano mwengine ni pale Swahaba "Suraqa ibn malik" aliporuhusiwa kuvaa dhahabu za kisra na wakati hapo hapo ni haram kwa mwanaume muislamu kuvaa dhahabu ipo hikma kwenye kila jambo
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,633
2,000
Kwanza suala la rejea kwangu siyo tatizo na ni rahisia sana,lakini kwa upande wako unatoa rejea si kwa hoja sahihi hili ni tatizo.

Rejea vitabu vifuatavyo.

1. Al Jawab sahihi liman badala dini al Masihi (Jibu lililo kuwa sahihi kwa yule aliyeibadilisha dini ya Masihi) kitabu hiki kimeandikwa na Shaykhul Islamu Ibn Taymiyyah.

2. Al Adiyaan,wa al firqa wa al Ahzab wa Al Madhahab al Mu'aswira hiki kitabu kinaelezea historia ya dini zote,makundi na madhehebu ya sasa.

3. Dini ya kweli ya Mwenyezi Mungu muandishi Dr. Bilal Philips.
Unamatumizi mabaya ya akili
Umedai Paul ndio kaanzisha dini ya Ukristo , nimekuomba rejea unaleta majina tu ya watu na vitabu , weka reference hapa
Pili unataja uanzilishi wa ukristo alafu rejea zako ni za waislamu acha utoto na Hypocrisy jadili kama mtu mzima

spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,633
2,000
Allah haombi. Jambo ambalo msilo lijua na huenda sababu hamsomi. Aya nyingi katika Qur'aan zimeshuka kulingana na matukio,mfani wa aya niliyo kunukulia hapo juu. Ilivyoshuka ikatoa muongozo na kile kikicho jiri.

Ndiyo maana tunapofasili aya huwa tunaangalia sababu ya kushuka kwa aya,tunaangalia Mtume aliwaelezea vipi aya hiyo maswahaba zake na maswahaba zake waliifanyia kazi vipi aya husika na haya yote yamedhibitiwa. Kwahiyo Mtume anapoletewa aya analetewa kama ilivyo na anaiwasilisha kama ilivyo.

Kwahiyo hicho kilicho kuja ni maneno ya Allah na Allah haombi na unatakiwa urejee ujue sababu ya kushuka kwa aya hiyo.

Ndiyo maana huwa tunawauliza mmesoma tafsiri za Qur'aan sababu Tafsiri nyingi huwa zinatuonyesha sababu za kushuka kwa aya husika.
Imani yako ni maneno ya allah na nakubali kwamba unaamini hivyo, Allah maneno yaliyoko kwenye koran aliyaongea kabla ya Muhammad kuzaliwa , Allah anasema mwenyezi mungu awaangamize hili tumemaliza
Allah alionge na kuandika miaka mingi kabla ya muhammad na akaweka kwenye ubao
Koran 85:22. Katika Ubao Ulio Hifadhiwa
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,633
2,000
Hakuna sehemu kwenye hiyo video jamaa anaposema zilifutwa, sjajua umetolea wapi hayo mawazo ila all in all kaangalie video.

Video haina hata dakika nyingi hebu kaiangalie halafu uje hapa.

Maana inavyoonyesha haujaangalia hiyo video points zoote unazozitaja hapo zimekuwa debunked hapo easily .
Jibu humu kumbuka hadith zote zipo kwenye kitabu kinaitwa sahih
 • Nani kafuta na wapi kwenye koran tunasoma zilifutwa, Muhammad kafa kaziacha
 • Aisha anasema allah alipunguza kunyonyesha mtu mzima kutoka mara 10 kwenda mara 5 na sio kufuta
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,633
2,000
Achana nae huyu kakarishishwa vitu hlf hta hajui ukweli wake
Acha kulia msaidie mwenyanzo aya za kunyonyesha mtu mzima nani kazichomoa kwenye koran
 • Nani kafuta na wapi kwenye koran tunasoma zilifutwa, Muhammad kafa kaziacha
 • Aisha anasema allah alipunguza kunyonyesha mtu mzima kutoka mara 10 kwenda mara 5 na sio kufuta
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....

Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
Book 30, Hadith 7..... A'isha umm al-muminin sent him away while he was being nursed to her sister Umm Kulthum bint Abi Bakr as-Siddiq and said, "Suckle him ten times so that he can come in to see me."
Salim said, "Umm Kulthum nursed me three times and then fell ill, so that she only nursed me three times. I could not go in to see A'isha because Umm Kulthum did not finish for me the ten times."

Kumbuka aisha alisema hivi
It was narrated that 'Aishah said:
Sunan Ibn Majah 1944 “The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,276
2,000
Unamatumizi mabaya ya akili
Umedai Paul ndio kaanzisha dini ya Ukristo , nimekuomba rejea unaleta majina tu ya watu na vitabu , weka reference hapa
Pili unataja uanzilishi wa ukristo alafu rejea zako ni za waislamu acha utoto na Hypocrisy jadili kama mtu mzima

Nimsaidie kidogo nadhani reference zako ulitaka zitokee kwenye biblia ? Na uliyekuwa unajadiliana naye hakujibu kama ulivyotarajia right? Ok njoo tujadili hapa.

Nikianza na bible king james version(kjv)

Act 11:26

26 And when he had found him, he brought him unto Antioch. And it came to pass, that a whole year they assembled themselves with the church, and taught much people. And the disciples were called Christians first in Antioch.

Naomba unipe maana ya hiyo aya hapo .

Na nimechagua bible ya kiingereza maana ndiyo atleast imetafsiri na kubadili bible ya kwanza kabisa iliyoandikwa kwa "koine greek language" though kjv imepitia many changes na imezalisha many versions inabaki kuwa bible version ambayo ine retain som3 info ambazi kwenye hizi bible nyingine zimekwisha ondolewa .

If you want a proof am here to help out.

Tuanze na hilo kwanza .
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,276
2,000
Koran huwa naitumia kama kituko flani, muhandishi wake alikuwa mjinga Sana , yani Kuna mda alikuwa anasahau kuhama kutoka 1st person kwenda kwenye 3rd person , kuna mda muhandishi ndio anakuwa Allah yani anatumia maneno ya utata kama may au labda, yani Allah anasema may god blessed you anajisahau yeye ndo anatakiwa kuwa god , yani is just a stupid book ambayo nimeweza ikariri yote kwa mda wa miezi mitatu tu
I doubt it though sio great feat maana kuna watu wameihifadhi ndani ya mwezi mmoja p3kee na wengine chini ya hapo pia so haujavunja record yyte ile naomba niku challenge maana i consider myself a student of theology twende mjadala kwa hoja zilizo kamili reference ikiwa bible na qur-an pekee bila kutoka nje ya hapo.

Ili niweze ku prove uyasemayo nasubiri jibu mkuu maana hata mimi nina maswali meengi kuhusiana na bible .
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,397
2,000
Unamatumizi mabaya ya akili
Umedai Paul ndio kaanzisha dini ya Ukristo , nimekuomba rejea unaleta majina tu ya watu na vitabu , weka reference hapa
Pili unataja uanzilishi wa ukristo alafu rejea zako ni za waislamu acha utoto na Hypocrisy jadili kama mtu mzima

Hizo ndizo rejea ambazo humo ukisoma unakutana na habari za Paulo,sasa unataka rejea gani nyingine zaidi ya hizo ?

Kwani rejea maana yake nini kijana ? Rejea ni marejeo kwayo tunapata jambo husika lilipo toka.

Sisi tunaangalia ukweli hatuangalii nani kasema nini ? Swali la msingi ni je kweli Yesu aliuacha Ukristo ? Ukishindwa kujibu swali hili maana yake ni kuwa si lazima hoja zitoke upande kuthibitisha uwepo au ukweli wa jambi la jumla.

Lakini kingine ni je umesoma hivyo vitabu na marejeo yao unajua ni wapi ? Sasa nilipo kwambia hayo ni marejeo ulitakiwa urejee kwenye hivyo vitabu usome kilicho andikwa.

Maana yake utoto unauleta wewe usiyesukumwa na msukumo wa kuutafuta ukweli.

Sasa nyinyi kama hamuwajui waandishi tu wa vitabu vyenu vya Injili vipi tuwarejee juu ya ukweli wa haya mambo ?
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
22,397
2,000
Imani yako ni maneno ya allah na nakubali kwamba unaamini hivyo, Allah maneno yaliyoko kwenye koran aliyaongea kabla ya Muhammad kuzaliwa , Allah anasema mwenyezi mungu awaangamize hili tumemaliza
Allah alionge na kuandika miaka mingi kabla ya muhammad na akaweka kwenye ubao
Koran 85:22. Katika Ubao Ulio Hifadhiwa
Hoja yako iko wapi hapo ? Naona unarudia rudia ulichokiandika hapo nyuma.
 
Consensus ad idem

JF-Expert Member
Jul 12, 2021
331
250
Koran huwa naitumia kama kituko flani, muhandishi wake alikuwa mjinga Sana , yani Kuna mda alikuwa anasahau kuhama kutoka 1st person kwenda kwenye 3rd person , kuna mda muhandishi ndio anakuwa Allah yani anatumia maneno ya utata kama may au labda, yani Allah anasema may god blessed you anajisahau yeye ndo anatakiwa kuwa god , yani is just a stupid book ambayo nimeweza ikariri yote kwa mda wa miezi mitatu tu
huyu ata icho kiswahili hakijui vizuri
"Muhandishi"? embu kwanza jifunze hii lugha ya taifa kbla ya kutukana Qur'an mna Qur'an ina maajabu yake kwaio usidhani kujua kwako kiarabu ndo ukaijua Qur'an we bdo ni mchanga sana kwenye kitabu hiki kitukufu
Halaf m naona huna hoja zaidi ya Ubishi mna ilo swali lko la 1st na 3rd m nilishakujibu kitambo tuu ila naona umekaza Fuvu we KAFIRI

Na ukifa kwenye UKAFIRI moto ni halali yako

N.b. M hua sikujibu mna huna hoja iliuo madhubuti zaidi ya Chuki zako
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,633
2,000
Hizo ndizo rejea ambazo humo ukisoma unakutana na habari za Paulo,sasa unataka rejea gani nyingine zaidi ya hizo ?

Kwani rejea maana yake nini kijana ? Rejea ni marejeo kwayo tunapata jambo husika lilipo toka.

Sisi tunaangalia ukweli hatuangalii nani kasema nini ? Swali la msingi ni je kweli Yesu aliuacha Ukristo ? Ukishindwa kujibu swali hili maana yake ni kuwa si lazima hoja zitoke upande kuthibitisha uwepo au ukweli wa jambi la jumla.

Lakini kingine ni je umesoma hivyo vitabu na marejeo yao unajua ni wapi ? Sasa nilipo kwambia hayo ni marejeo ulitakiwa urejee kwenye hivyo vitabu usome kilicho andikwa.

Maana yake utoto unauleta wewe usiyesukumwa na msukumo wa kuutafuta ukweli.

Sasa nyinyi kama hamuwajui waandishi tu wa vitabu vyenu vya Injili vipi tuwarejee juu ya ukweli wa haya mambo ?
HiI Ni forum inajitegemea , inatakiwa uweke kipengele humu sio kumpa mtu Kazi akasome mavitabu , unachofanya ni kusumbua unae mjibu ILI wewe uonekane umejibu kumbe huna jibu , jibu kwa kuweka ushahidi hapa kinyume Cha hapo unao fanya ni utoto na kila mara nakwambia

Vitabu wameandika waislamu alafu wewe ndio unatumia kuwa ni majibu ya ukristo ,
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,276
2,000
Jibu humu kumbuka hadith zote zipo kwenye kitabu kinaitwa sahih
 • Nani kafuta na wapi kwenye koran tunasoma zilifutwa, Muhammad kafa kaziacha
 • Aisha anasema allah alipunguza kunyonyesha mtu mzima kutoka mara 10 kwenda mara 5 na sio kufuta
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).
Kabla ya kuanza kukujibu nikuelekeze vitu hivi ili twende sawa Hadith maana yake ni maneno aliyoyasema mtume muhammad (swalallah aleyh wa salam) na hadithi huwa hazipo kwenye msahafu au quran japo dhumuni la hadithi ni kutafsiri na kuielewa qu-rani kiundani ila narudia tena hazipo kwenye quran nadhani tupo sawa hapo.

Kingine Qu-ran ni maneno ya Allah (subhanna hu wataallah) ambayo alimteremshia mtume wake wa mwisho muhammad (swalallah aleyh wa salam) kidogo kidogo kutokana na matukio aliyokuwa anakutana nayo kwa muda mrefu kupitia malaika jibril (alleyhi salam).

Ndani ya qur-ani kuna mkusanyiko wa simulizi za mitume na watu mbali mbali pamoja na matukio yaliyotokea kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu mpaka utakapofikia mwisho huo ulimwengu .

Piw kumebeba sheria, ahadi na utabiri uliyo sahihi kabisa kwani anayeyasema haya ni yule mwenye elimu kubwa ambayo hatuwezi kuiwazia sisi viumbe vyake si mwingine ni Allah (subhanna hu wataallah).

Ok twende kwenye mada husika hapo juu.

Tukianza na hadithi hiyi ya 1453 kutoka sahihi muslim niseme tu kwanza haujaweka hadithi nzima 😅 why? umefanya uliyofanya sijui labda una manipulate hoja zako kwa waislamu na watu wengine wasio na elimu kubwa sijui . Anyway hadithi inasema hivi.

'' A'isha (Allah be pleased with her) reported that Sahla bint Suhail came to Allah's Apostle (may peace be eupon him) and said:
Messengerof Allah, I see on the face of Abu Hudhaifa (signs of disgust) on entering of Salim (who is an ally) into (our house), whereupon Allah's Apostle (ﷺ) said: Suckle him. She said: How can I suckle him as he is a grown-up man? Allah's Messenger (ﷺ) smiled and said: I already know that he is a young man 'Amr has made this addition in his narration that he participated in the Battle of Badr and in the narration of Ibn 'Umar (the words are): Allah's Messenger (ﷺ) laughed."

حَدَّثَنَا عَمْرٌو النَّاقِدُ، وَابْنُ أَبِي عُمَرَ، قَالاَ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ بْنُ عُيَيْنَةَ، عَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، بْنِ الْقَاسِمِ عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ جَاءَتْ سَهْلَةُ بِنْتُ سُهَيْلٍ إِلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَقَالَتْ يَا رَسُولَ اللَّهِ إِنِّي أَرَى فِي وَجْهِ أَبِي حُذَيْفَةَ مِنْ دُخُولِ سَالِمٍ - وَهُوَ حَلِيفُهُ ‏.‏ فَقَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ أَرْضِعِيهِ ‏"‏ ‏.‏ قَالَتْ وَكَيْفَ أُرْضِعُهُ وَهُوَ رَجُلٌ كَبِيرٌ فَتَبَسَّمَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَقَالَ ‏"‏ قَدْ عَلِمْتُ أَنَّهُ رَجُلٌ كَبِيرٌ ‏"‏ ‏.‏ زَادَ عَمْرٌو فِي حَدِيثِهِ وَكَانَ قَدْ شَهِدَ بَدْرًا ‏.‏ وَفِي رِوَايَةِ ابْنِ أَبِي عُمَرَ فَضَحِكَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏.‏

Nimeweka kwa kiarabu pia kama ilivyopokelewa hapo.

UCHAMBUZI YAKINIFU 😊

Kwanza turudi kwa salha binti suhail na mumewe abu hudhaifa hawa swahaba wawili walimu adopt(kumpitisha) salim kuwa mtoto wao na wakaishi naye mpaka akawa amebalehe , sasa kwa kuwa salim alishazoea tokea akiwa mdogo kuingia nyumba waliyomo wazazi wake hiki kitendo baba yake wa kufikia yaani abu hudhaifa hakukikipenda kwa sababu ukizingatia ni keshakuwa mtu mzima halafu mara nyengine anamkuta mama yake wa kufikia labda hajavaa stara .

Ndipo ikambidi sasa salha aende kumuuliza mtume wa mwenyezi mungu ni nini wafanye ndipo alipomwambia amnyonyeshe huyo salim maana akishakunywa maziwa yake atakuwa ni mtoto wake wa damu na hofu akiyonayo mumewe itamtoka (wivu wa mumewe).

Na kwenye kitabu cha ibn sa'd kiitwacho tabaqat anasema salha alikuwa akikamua maziwa yake kwa siku 5 nzima kwenye chombo kisha salim alikuwa akiyanywa maana hairuhusiwi asiye maarim( mtu mnayeshare damu ndugu,baba ,mama ,kaka n.k) kukuona bila stara.

NA BADO

Uislamu haumchukulii mtoto wa kufikia kama ni mtoto halali wa wale waliomrithi ndiyo maana akamwambia amnyonyeshe ili kumfanya mtoto halali.
 
Kingine nikuelimishe kauli yako hii

"Jibu humu kumbuka hadith zote zipo kwenye kitabu kinaitwa sahih"

🤣🤣 Mkuu utanisamehe maana mpaka hapa nimeshaelewa level yako ya ufaham wa dini hii ya uislamu sorry no offence.

Kwanza si kweli kwamba "hadithi zote zipo kwenye kitabu kinaitwa sahihi 🤣🤣
(Sorry nimeshindwa kujizuia aisee) hakuna kitabu kinaitwa sahih .

Vitabu vya hadithi vinategemeana na madhhab unayoyaongelea mfano
Sunni islam wana vitabu hivi hapa sahih muslim, bukhari, sunnan ibn majah , na sunnan ibn taymiyya.

Ukija kwa shia islam wao wana kitabu kinaitwa "nahjul balagha" sasa sijui hicho sahih... Umekitoa wapi 😅😅.

Ila umejitahidi aisee 🤣😅😅 you're wellcome nikimakiza kukujibu maswali yako yoote kama nilivyosema na mimi nina yangu machache.
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,633
2,000
Hoja yako iko wapi hapo ? Naona unarudia rudia ulichokiandika hapo nyuma.
Hoja yangu nimeshaimaliza na nimeshathibitisha Allah anapoongea
1st person - yani Mimi au sisi (kujiongelea wewe ndio muhusika au nyinyi ndio wahusika)
3rd person -kuongelea mtu mwingine ambae sio wewe yani wao, yeye ,yakwao, aliye n.k (kuongelea mtu mwingine ndie muhusika au watu wengine ndio wahusika)
Mfano
Koran
1. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliye umba mbingu na ardhi
2.Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo,....
 
spensa_e

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
3,633
2,000
Kabla ya kuanza kukujibu nikuelekeze vitu hivi ili twende sawa Hadith maana yake ni maneno aliyoyasema mtume muhammad (swalallah aleyh wa salam) na hadithi huwa hazipo kwenye msahafu au quran japo dhumuni la hadithi ni kutafsiri na kuielewa qu-rani kiundani ila narudia tena hazipo kwenye quran nadhani tupo sawa hapo.

Kingine Qu-ran ni maneno ya Allah (subhanna hu wataallah) ambayo alimteremshia mtume wake wa mwisho muhammad (swalallah aleyh wa salam) kidogo kidogo kutokana na matukio aliyokuwa anakutana nayo kwa muda mrefu kupitia malaika jibril (alleyhi salam).

Ndani ya qur-ani kuna mkusanyiko wa simulizi za mitume na watu mbali mbali pamoja na matukio yaliyotokea kuanzia kuumbwa kwa ulimwengu mpaka utakapofikia mwisho huo ulimwengu .

Piw kumebeba sheria, ahadi na utabiri uliyo sahihi kabisa kwani anayeyasema haya ni yule mwenye elimu kubwa ambayo hatuwezi kuiwazia sisi viumbe vyake si mwingine ni Allah (subhanna hu wataallah).

Ok twende kwenye mada husika hapo juu.

Tukianza na hadithi hiyi ya 1453 kutoka sahihi muslim niseme tu kwanza haujaweka hadithi nzima 😅 why? umefanya uliyofanya sijui labda una manipulate hoja zako kwa waislamu na watu wengine wasio na elimu kubwa sijui . Anyway hadithi inasema hivi.

'' A'isha (Allah be pleased with her) reported that Sahla bint Suhail came to Allah's Apostle (may peace be eupon him) and said:
Messengerof Allah, I see on the face of Abu Hudhaifa (signs of disgust) on entering of Salim (who is an ally) into (our house), whereupon Allah's Apostle (ﷺ) said: Suckle him. She said: How can I suckle him as he is a grown-up man? Allah's Messenger (ﷺ) smiled and said: I already know that he is a young man 'Amr has made this addition in his narration that he participated in the Battle of Badr and in the narration of Ibn 'Umar (the words are): Allah's Messenger (ﷺ) laughed."

حَدَّثَنَا عَمْرٌو النَّاقِدُ، وَابْنُ أَبِي عُمَرَ، قَالاَ حَدَّثَنَا سُفْيَانُ بْنُ عُيَيْنَةَ، عَنْ عَبْدِ الرَّحْمَنِ، بْنِ الْقَاسِمِ عَنْ أَبِيهِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ جَاءَتْ سَهْلَةُ بِنْتُ سُهَيْلٍ إِلَى النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم فَقَالَتْ يَا رَسُولَ اللَّهِ إِنِّي أَرَى فِي وَجْهِ أَبِي حُذَيْفَةَ مِنْ دُخُولِ سَالِمٍ - وَهُوَ حَلِيفُهُ ‏.‏ فَقَالَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم ‏"‏ أَرْضِعِيهِ ‏"‏ ‏.‏ قَالَتْ وَكَيْفَ أُرْضِعُهُ وَهُوَ رَجُلٌ كَبِيرٌ فَتَبَسَّمَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَقَالَ ‏"‏ قَدْ عَلِمْتُ أَنَّهُ رَجُلٌ كَبِيرٌ ‏"‏ ‏.‏ زَادَ عَمْرٌو فِي حَدِيثِهِ وَكَانَ قَدْ شَهِدَ بَدْرًا ‏.‏ وَفِي رِوَايَةِ ابْنِ أَبِي عُمَرَ فَضَحِكَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم ‏.‏

Nimeweka kwa kiarabu pia kama ilivyopokelewa hapo.

UCHAMBUZI YAKINIFU 😊

Kwanza turudi kwa salha binti suhail na mumewe abu hudhaifa hawa swahaba wawili walimu adopt(kumpitisha) salim kuwa mtoto wao na wakaishi naye mpaka akawa amebalehe , sasa kwa kuwa salim alishazoea tokea akiwa mdogo kuingia nyumba waliyomo wazazi wake hiki kitendo baba yake wa kufikia yaani abu hudhaifa hakukikipenda kwa sababu ukizingatia ni keshakuwa mtu mzima halafu mara nyengine anamkuta mama yake wa kufikia labda hajavaa stara .

Ndipo ikambidi sasa salha aende kumuuliza mtume wa mwenyezi mungu ni nini wafanye ndipo alipomwambia amnyonyeshe huyo salim maana akishakunywa maziwa yake atakuwa ni mtoto wake wa damu na hofu akiyonayo mumewe itamtoka (wivu wa mumewe).

Na kwenye kitabu cha ibn sa'd kiitwacho tabaqat anasema salha alikuwa akikamua maziwa yake kwa siku 5 nzima kwenye chombo kisha salim alikuwa akiyanywa maana hairuhusiwi asiye maarim( mtu mnayeshare damu ndugu,baba ,mama ,kaka n.k) kukuona bila stara.

NA BADO

Uislamu haumchukulii mtoto wa kufikia kama ni mtoto halali wa wale waliomrithi ndiyo maana akamwambia amnyonyeshe ili kumfanya mtoto halali.
 • Hiyo ya koran na Hadith na Tafsir labda nikufundishe mimi , ukinifundisha unapoteza mda wako
 • Hadith nimeicopy kidogo kwenye point yangu ambayo nilitaka kufikisha najua unajua matumizi ya dots kabla na baada
 • Hapa umekiri mtu mzima kanyonyeshwa sasa endelea na maswali yangu
 • Maswali yangu yalikuwa kama ifuatavyo
  • Nani kafuta na wapi kwenye koran tunasoma zilifutwa, Muhammad kafa kaziacha
  • Aisha anasema allah alipunguza kunyonyesha mtu mzima kutoka mara 10 kwenda mara 5 na sio kufuta
Sahih-Muslim 1453e:
....I see in the face of Abu Hudhaifa (the signs of disgust) on account of entering of Salim (in the house), whereupon Allah’s Messenger said Suckle him. She (Sahla bint Suhail) said: He has a beard. But he (again) said: Suckle him, ....
Book 30, Hadith 7..... A'isha umm al-muminin sent him away while he was being nursed to her sister Umm Kulthum bint Abi Bakr as-Siddiq and said, "Suckle him ten times so that he can come in to see me."
Salim said, "Umm Kulthum nursed me three times and then fell ill, so that she only nursed me three times. I could not go in to see A'isha because Umm Kulthum did not finish for me the ten times."

Verse zilikuwepo
Sahih Muslim 1452b
...There was revealed in the Holy Qur'an ten clear sucklings, and then five clear (sucklings).
Sahih Muslim 1452a
'A'isha (Allah be pleased with, her) reported that it had been revealed in the Holy Qur'an that ten clear sucklings make the marriage unlawful, then it was abrogated by five sucklings and Allah's Apostle (ﷺ) died and it was before that time (found) in the Holy Qur'an (and recited by the Muslims).

Kumbuka aisha alisema hivi
It was narrated that 'Aishah said:
Sunan Ibn Majah 1944 “The Verse of stoning and of breastfeeding an adult ten times was revealed1, and the paper was with me under my pillow. When the Messenger of Allah died, we were preoccupied with his death, and a tame sheep came in and ate it.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom