MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,783
Mkuu kwa madini unayomwaga humu kwanini usiandae machapisho na wanajukwaa tutakusupport kuvinunua ili msife na maujuzi yenu maana kuna watu walikuwa great thinkers alafu wanakufa na ideology zao na historia zao bila kuzipitisha generation ijayo
Ukifanya hivyo utaepukana pia na plagiarism wanayokufanyia
Mkuu wangu Zitto JR, Good to see you!
Hivi ule Mzigo kwenye E-Mail ulipata ??
Nakuja PM tuyajenge....