Chimbuko la ugaidi duniani ulipoanzia mpaka sasa hivi ulipofikia.

Hapa kuna kitu kikubwa nimekieleea ingawaje kuna vingine hujaviweka ambayo naona ni muhimu mno ambao nao ni ugaidi tu uliokithiri.

Moja suala la Taleban kutumika kuisambaratisha Rassia kwenye vita baridi.Osama,Muller na wenzie

Lingine kuna kina Savimbi kule Angola walitumika kuiba rasilimali muda na Vito kwa maslahi ya Marekani kwa kipindi kirefu sana mpaka C.I.A mmoja alipokuja kusema kwamba ni nchi Yake inafund Savimbi ndio wamarekani wakasaidia kumuua.

Umeacha kuzungumzia biashara ya Madawa ya kulevya waliyoilea America kusini kupitia Noriega ili kulinda maslahi yao eneo hilo.

Hujaonyesha ni jinsi gani wamechangia ugaidi na machafuko mashariki ya kati wakianzia Iraq na kusambaza sehemu nyingine za Waarabu kupitia Isis.

Zungumzia pia wanavyotumia bahari ya Somalia kusafirisha malighafi na baadhi ya Vitu kupitia mgongo wa Alshabab .

Ila angalao umeonyesha kuwa kuna mikono ya hawa watu wakubwa tunaowaamini kwenye maovu yatokeayo kwenye ulimwengu huu.
 
MJUKUU WA CHIFU
Mkuu kwanini umenakili Uzi wangu: Ugaidi katika utamaduni wa binadamu bila kufanya Acknowledgement yoyote ile ???

Huu uzi utaishia kuwachanganya watu kwasababu haukuisha wote na bado mimi naendelea kuuandika!
Lakini wewe umefanya uonekane ni kama vile nazungumzia upande moja wa Warusi na Waarabu...
Hakika inabidi aku acknowledge maana mjadala huu ulikuwa mkali wewe na Eiyer ,mseza mkulu na wengine

Wengine tulikuwa tunafatilia tu

Eiyer alijikita katika imani zaidi na kuhusisha na ugaidi wewe ulijikita katika Ujasusi na ugaidi

Lakini katika yote kwa yote wote mmetoa katika mandiko ,ambayo mengine yana contradict lakini inabaki kuamini kwa mtu mwenyewe ,maana hata walioandika hatujui walikuwa na malengo gani ? Je ni sahihi au ndio still tuko kwenye ulimwengu Wa Conspiracy

Binafsi naamini ,biblia ,Quran na Vitabu vyote vingine vya kihistoria huandikwa na washindi je wanakuwa na lengo gani ? Kusema ukweli au kutimiliza jambo lao

Tuishi ili tufe tu
 
Halafu sasa vya shuleni hazina mvuto ndioaana ni rahisi sana kusahau
Mambo adhimu sana haya, najiuliza kwanini shule tunafundishwa vitu vyepesi sana na kuacha mambo complex na muhimu ya kidunia kama haya..

Asante Mkuu
Halafu sasa vya shuleni hazina mvuto ndio maana ni rahisi sana kusahau
 
MJUKUU WA CHIFU
Mkuu kwanini umenakili Uzi wangu: Ugaidi katika utamaduni wa binadamu bila kufanya Acknowledgement yoyote ile ???

Huu uzi utaishia kuwachanganya watu kwasababu haukuisha wote na bado mimi naendelea kuuandika!
Lakini wewe umefanya uonekane ni kama vile nazungumzia upande moja wa Warusi na Waarabu...
Hata nami nilipokuwa nausoma akili yangu ilikuwa inaniambia huu uzi nilishawahi kuusoma ndio maana sehemu nyingi nilikuwa nascroll ili kujua kuna utofauti au la, na nilikuwa napitia koments za wadau ili kupata koment kama hii uliyotoa.

Lakini chifu uzembe ulikuwa wa kwako umekaa mda mrefu sana bila kuuendeleza huo uzi, fanya mpango uzi usonge mbele...!!!
 
Hakika inabidi aku acknowledge maana mjadala huu ulikuwa mkali wewe na Eiyer ,mseza mkulu na wengine

Leo nimetumiwa kazi yangu fulani kuna mtu anapigia hela na inazunguka kweli mitandaoni,
Niliandika mwaka 2007 huko nikaiweka kwenye Diary lakini nakumbuka niliibiwa ile Diary.
Nilivyoona leo ilibidi nicheke tu sasa, maana aliyeniibia ni mwanamke.....Teh teh teh teh....
 
Mkuu
Huyu Alitakiwa Kutoa Shukrani Sasa Anapokaa Kimya Siyo Nidhamu
Naaaah mkuu,
Mtu kama huyu akiniheshimu au asiponiheshimu haniongezei wala hanipunguzii chochote kile.
Nimeshajua anatafuta nini hapa, na mtu wa aina gani......mbali na kumjua yeye ni nani na ID zake zingine...
Teh teh teh teh............................
 
Naaaah mkuu,
Mtu kama huyu akiniheshimu au asiponiheshimu haniongezei wala hanipunguzii chochote kile.
Nimeshajua anatafuta nini hapa, na mtu wa aina gani......mbali na kumjua yeye ni nani na ID zake zingine...
Teh teh teh teh............................
Mkuu
Shida Sana
Nakukumbuka Habari Za Wakati
Magazeti Ya Udaku Yalikuwa Kimbilio La Habari Na Makala Lazima Waje Jamiiforums
 
Uzembe wangu kivipi ??
Leo natumiwa baadhi ya nyaraka zangu ziko kwenye mitandao fulani watu wanapigia hela.
Nikacheka sana, yaaani kitu tunatoa kuelimisha watu wao wanaenda kupigia Pesa (Siyo mpango)
Mkuu kwa madini unayomwaga humu kwanini usiandae machapisho na wanajukwaa tutakusupport kuvinunua ili msife na maujuzi yenu maana kuna watu walikuwa great thinkers alafu wanakufa na ideology zao na historia zao bila kuzipitisha generation ijayo

Ukifanya hivyo utaepukana pia na plagiarism wanayokufanyia
 
Back
Top Bottom