Chimbo la belo za mtumba grade A pasipo na matapeli na waongo zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

Hujaona logic kivipi!? Faida ni nyingi sana?

Hiyo pesa huipati kwa mara 1, unapouza rejareja hapo ni kidogo kidogo, km ukiwa na soko la uhakika, pesa ndio unaiona vizuri, ila mzunguruko mdogo, unachelewa kupiga mpunga hapo hapo ule na matumizi ya kila siku. Tofaouti na kuipata vuuup.
Na ukipiga kwa calculator unaipata vuuup,.. basi unasema hapa ndo peneyewe
 
Back
Top Bottom