Chiluba: THE END

nadhani hili la mshahara wa $ 10,000 kwa mwaka lina walakini..pengine kulikuwa na makosa ya kiuchapishaji kwenye chanzo tunachokitumia...haiingii akilini!

Hapo nakubaliana nawe maana $10K kwa mwaka, kwa prezdo, ni hela
mbuzi sana.I think ingekua labda kwa mwezi.
 
...wala hujakosea mkuu.Si umemuona yule jamaa wa Niger naye pia.
Yaani kila kiongozi ni mwizi hata sijui kama tumelaaniwa ama vipi.

Mkuu huyo wa Niger ndiyo hata usiseme. Yani nimesoma taarifa na sababu zake za kutaka kung'ang'ania uraisi ni za kipumbavu sijapata kusikia. Mtu yoyote mwenye akili hawezi kutaja sababu zile kama sababu za kuongezewa muda. Kaonyesha arrogance kwenye kinyume na amri ya mahakama, kadanganya kwa kusema taifa ndilo linalo mtaka aendelee na kajikweza kwa kusema kuondoka kwake kutavunja uhuru wa nchi hiyo. Yani viongozi hawa wengine inafaa siku waondolewe secury details zao wananchi tukawafuate tuwachape bakora.
 
Hapo nakubaliana nawe maana $10K kwa mwaka, kwa prezdo, ni hela
mbuzi sana.I think ingekua labda kwa mwezi.

Kumbukeni tunaongelea Africa, enzi ya Chiluba, mara tu baada ya humanist yule wa kuitwa Kaunda. Mimi sishangai, hawa marais hela yao wala haipo kwenye mshahara, kuna ma perks mengine tu.

Hata Marekani graduate wa shule nzuri ya sheria mshahara wake wa kuanzia unazidi wa rais.

Kama mnabisha tafuteni mshahara aliokuwa analipwa muwaandikie NYT kuwarekebisha.
 
Last edited:
Hapo nakubaliana nawe maana $10K kwa mwaka, kwa prezdo, ni hela
mbuzi sana.I think ingekua labda kwa mwezi.[/QUOTE

Kumbukeni tunaongelea Africa, enzi ya Chiluba, mara tu baada ya humanist yule wa kuitwa Kaunda. Mimi sishangai, hawa marais hela yao wala haipo kwenye mshahara, kuna ma perks mengine tu.

Hata Marekani graduate wa shule nzuri ya sheria mshahara wake wa kuanzia unazidi wa rais.

Kama mnabisha tafuteni mshahara aliokuwa analipwa muwaandikie NYT kuwarekebisha.

Bluray,

si eti nabisha but I'm just wondering kama the figure is correct.
Kwani if it is then huo ni mshahara mdogo sana kwa rais. Maybe
thats what propelled him to steal like he did.
 
nadhani hili la mshahara wa $ 10,000 kwa mwaka lina walakini..pengine kulikuwa na makosa ya kiuchapishaji kwenye chanzo tunachokitumia...haiingii akilini!

Mkuu Semjato, taarifa ya NY Times iliyosema $ 10, 000 kwa mwaka iko dead on balls accurate. Mishahara ya marais wa Zambia ni midogo kuliko marais wote wa Africa. Kwa maelezo zaidi soma hapa:

...Hata Marekani graduate wa shule nzuri ya sheria mshahara wake wa kuanzia unazidi wa rais.

Unaongelea rais wa wapi Blueray, mazee? Kama unaongelea rais wa Africa, sijui inakuwaje ulinganishe attorney wa US na rais wa Africa. A little out of whack!

Kama ni rais wa Marekani, mshahara wake ni $ 400,000, sasa sijui entry level attorney gani huyo atalipwa hivyo. Labda utupe chanzo mazee, isije ikawa ni kama madai ya Chiluba kutumia $ 500,000 kwa siku moja.
 
Wazambia wametuzi hata mahakama yaani mahakama inang'aa kuliko zetu za bonge yaani bongo ufisadi mpakwa kwenye mahakama.
 
if it was for the late Mwanawasa,the trial for the bastard would be fair.but under Rupia Banda,nothing will come out bcause himself is a product of corruption.Banda is with close contacts with the same war lords from Congo who control the the natural resources of Congo.,and the same guyz were the close friends of chiluba.
we have so many mkapas and vikwete in africa
 
Better stay thirsty than to drink poisonous water to heal your thirst
 
Last edited by a moderator:
Only the late Mwanawasa could do something paramount to this man but not his product in fraud Mr. Rupia
 
Bluray,

si eti nabisha but I'm just wondering kama the figure is correct.
Kwani if it is then huo ni mshahara mdogo sana kwa rais. Maybe
thats what propelled him to steal like he did.

exactly..
sawa mhitimu wa shule nzuri ya sheria anaweza mzidi rais US kwa mshahara,but ni kiasi gani mshahara wenyewe?
sababu $10K kwa mwaka ni chini ya $ 1000 kwa mwezi...
sijitahidi kuamini..
 
All political careers ends up in failure!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Pengine hii mahakama ilipingwa polish mapema kabla ya kesi ya chiluba kuanza.

Akifungwa itakuwa fundisho zuri sana....
 
Back
Top Bottom