Chiligati ume mtukana Mungu,tubu haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chiligati ume mtukana Mungu,tubu haraka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Mar 5, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  "Rais ni baba wa familia ya Tanzania lakini kumpa siku tisa atekeleze matakwa yote haiwezekani, maana yeye si Mungu, bali ni binadamu na ana mipango endelevu kwa taifa letu. Hebu CHADEMA wawe waungwana," alisema Chiligati.

  Kwa hiyo Mungu ndo anapewa siku awe amekamilisha mambo?
  Yaaani umekosa mifano yote hadi uoneshe kuto muogopa Mungu kiasi hiki?

  najua "John" ni jina la kikristo,nakupa mistari hii ikusaidie katika kutambua kosa lako!

  1) Jer 5:22 (NIV) "Should you not fear me?" declares the Lord. "Should you not tremble in my presence?"

  2)"You shall not take the name of the Lord your God in vain, for the Lord will not leave him unpunished who takes His name in vain." Exodus 20:7

  Kwa hiyo,kumtetea kwako kikwete na kusema kwamba yeye sio Mungu wa kufanya hayo yote kwa siku tisa una maanisha Mungu anafanya kazi zake kwa kuamrishwa au kupewa deadline?

  Please,repent
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,173
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ccm imejaa mizee mifisadi iliyofulia kimawazo kiasi kwamba haiwezi kuzungumza bila 'kushtua'
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  "Katu hatuko tayari kuvumilia kuona hali inaharibika kwa kauli zao hasa ya wembe ule ule mpaka kieleweke, hakika huku ni kuendelea kuchochea vurugu na nchi isitawalike," alisema Chiligati.

  Kwani ccm mnapo imba wembe ni ule ule ushindi hiwa mna maanisha au kuashiria nini?

  Mnapo imba wapinzani waletwe wachanwe chanwe hua mna maanisha kuwapaka mafuta?

  Mnaposema ushindi kwenu ni lazima,kauli hiyo huwa imebeba nini kama sio fujo?

  Kaeni kimya na mkiache chama chenu kife kwa amani
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  So,alikuwa amelewa?
  Ila sio excuse kwa Mungu hiyo ya kumdhalilisha
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  "Tunajua Dk. Slaa hakubaliani na matokeo lakini atambue CCM ndiyo ilishinda na kama anataka kuwa Savimbi wa Tanzania hili halina nafasi, atafute nchi nyingine lakini si Tanzania," alisema Chiligati.

  Kwani Dr.Slaa ana uraia wa nchi mbili?
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  ccm ni wazee wa kukurupuka.... They never think wakati wanatoa matamko yao..... All of them...... Ebu niambieni kama chadema wanatoaga matamko hovyo hovyo kama ccm???? Its neva possible
   
 7. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hivi kwanini halitolewa uwazi! na anaongea kama nani? Kwani yeye ni msemaji wa serikali au cCm?
   
 8. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Ni kweli yeye ni msemaji wa chama ila msameheni bure, kwa kweli tuna kazi kubwa ya kuwakomboa wadanganyika wengi kama kina CHILIGATI, TAMBWE, MAKAMBA na wengine wengi wa aina hii ambao akili zao waliziweka stoo miaka mingi.
   
 9. anti-fisadi

  anti-fisadi JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Siasa za hawa wazee zimepitwa na wakati kwa kiasi kikubwa,waache kuongea hadharani maana kila wanaloongea ni ushuzi mtupu! Ingekuwa sio umri wake,tungemkamata na kumpeleka mirembe
   
Loading...