Chiligati, Mkuchika, Makala, Mh'd Dewji

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
608
Tuwaangalie hawa, John Chiligat, George Mkuchika, Amos Makala na Mohamed Dewji, wanaweza kuingia katika sekretarieti moya ya CCM
 
Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
608
Dewj alitajwa kuwa Mweka Hazina, lakini sasa wanasema Makamba anaweza kurudi, lets wait for les than 30 mins
 
Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
153
mie sitaki kabisa kudiscuss sisiemu ya sasa,atakeyeshinda ni sawa tu ila ni nani atahoji mkataba wa Richmonde hadharani?

yuko wapi shujaa wa kuhoji mbona mafisadi hawashughulikiwi?Ufisadi si tendo la kiroho na by deafault Mungu awezi kuwabariki viongozi hawa.

Mwanakijiji hakuna haja ya kuwaomba wana wa watanzania kuwaombea mabaya hawa watu manaake watapigwa na dhoruba by default

wana wa watanzania naomba muombee sana mabdiliko ya ukweli yaje katika nchi yetu,Lowassa aanguke vibya katika jimbo lake la Monduli, Jk apate asilimia 53% tu za kura 2010,Wapinzania wachukue zaidi ya asilimia 50% ya majimbo yote ya kura
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,346
38,995
Makamba atarudishwa, ili kutuliza speculation halafu baada ya muda kidogo (a year or so) ataomba kujiuzulu kwa sababu zozote zile, and then, kabla ya 2010 CCM itakuwa na Katibu Mkuu mpya. That is my political foreseeing.
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,511
9,611

Huenda ikawa hivyo, maana sisiemu kwa tiktak nawaaminia.
 
Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
153
Makamba -secretary general

Amos Makala-FEdha

Kidawa-Oganizainesheni

Membe-Mahusiano ya mambo ya nje

Source:Nchimbi
 
Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
153
nasikia jana Muungwana alipita humu JF kucheki wanaongea nini,hii nimepewa na kada mmoja wa sisiemu..Muungwana asubuhi alikuwa akiwaauliza hivi hii Jf ni ya nani?
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
14,511
9,611
nasikia jana Muungwana alipita humu JF kucheki wanaongea nini,hii nimepewa na kada mmoja wa sisiemu..Muungwana asubuhi alikuwa akiwaauliza hivi hii Jf ni ya nani?

Kapita Ili aifanye nini hii JF?
Wamwambie kuwa hii ni ya Watanzania wote, walio na wasio sisiemu, walio na wasio nchini, walio na wasio na vyama, walio na wasio nacho, wenye elimu kubwa na ndogo nk, ili mradi baraza linaenda.
Ni vyema kama muungwana anapita, maana huenda akapata mawili matatu ya kumfaa katika kuijenga Tanzania.
 
Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,131
40
Tuwaangalie hawa, John Chiligat, George Mkuchika, Amos Makala na Mohamed Dewji, wanaweza kuingia katika sekretarieti moya ya CCM

Ukichanganya na Handsome safu ya wanajeshi inatimia. Chama cha kijeshi eeehh, no wonder kinaitwa chama cha mapinduzi ya kumpindua mtanzania kwenda kwenye umasikini.

Asha
 
Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,503
153
tatizo FD unataka kila habari inayohusu sisiemu lazima uitoe wewe?kama unataka kaongee na sisco mtiro akupe kati za assistant chief of protocol,
kama udaku tuambie Ukweli
 
Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
608
Udaku at its best!
__________________

Sijui ndugu yetu FD anazungumzia udaku upi... Kwanza hapa kabla hata ya kutangazwa rasmi, hii thread iliwataja Chiligati, Mkuchika, Makala na Mhd Dewji kama watu wa kuangalia. Maana ya hiyo ilitokana na taarifa za wakati huo. (Mapema Jumanne mchana) ambako watu hao walipewa maelekezo maalumu, na wao kuonekana kuchanganyikiwa kidogo, kabla ya Chiligati, Mkuchika na Makala kuitwa tena mahali. HAKUNA CHA UDAKU MPAKA HAPO.

Ama kama ni alichosema dada Asha, kwamba safu ya wanajeshi imetimia, hakuna cha udaku kwani, Luteni Kanali, Jakaya Kikwete, Luteni Yussuf Makamba, Kapteni George Mkuchika, Kapteni John Chiligati. Hao wote ni wanajeshi. Ukimuongeza na Bernad Membe (shushushu) anabakia Amos Makala ambaye hatujui alikotokea ama kupitia, ila mpaka hapo sekretarieti yote na Mwenyekiti wao ni wanajeshi, ukimuondoa Amos Makala na wale wa Zanzibar, ambao nao pengine ni kwa kutowafahamu walikotoka. HAKUNA UDAKU mpaka hapo.
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
37,490
64,882

Ndugu yangu HALISI,
Anachokifanya FD ni kupunguza makali ya ukweli wa jambo hili,anafahamu fika kuwa huu si udaku na ni jambo zito sana la kulitafakari kwa kina, IS CCM A MILITARY PARTY?
 
FDR Jr

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
249
6
Kuondolewa kwa Jaka Mwambi ndani ya Sekretarieti ni mapinduzi ya kifikra na vita yenye mafanikio dhidi ya watu ambao wamekuwa wakimharibia JK;hatasahaulika kwa aliyofanya Morogoro kuelekea uchaguzi mkuu,Makamba naye amshukuru mungu kwa uungwana wa JK ila binafsi nampongeza m/kiti na timu yake. Amedhihirisha kuwa ni mpenda Tanzania nambari 1. Keep it up Jakaya.
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,906
Ataka kujua so what? yampasa mtu mmoja kufa kwa ajili ya wengi. We are not zombies as he thought when we gave him the unriavalled victory in 2005. he nust know that in 2010 he will be the most unpopular presidential candidate in the history of Bongo.JF is there to witness.
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,906
He must know that in 2010 he will be the most unpopular presidential candidate in the history of Bongo.JF is there to witness.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom