CHIKAWE AKOSA NEC WILAYA, MNALI MPIGA VIBOKO JUU.... Kijana mdogo wa Kijiweni Ashinda NEC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHIKAWE AKOSA NEC WILAYA, MNALI MPIGA VIBOKO JUU.... Kijana mdogo wa Kijiweni Ashinda NEC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pasco_jr_ngumi, Oct 5, 2012.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wakubwa habari za jioni,
  niko hapa Nachingwea, jana usiku hali ilikuwa ni mchakamchaka tu.... wapenda mageuzi na mabadiliko tulifurahi saana.
  hapa, Mh. Chikawe aliingia kwa mbwembwe ili ashinde NEC wilaya, hatimaye wajanja walimweka kijana mdogo Fadhili Liwata, tunaekula nae vumbi hapa Nachingwea kijiweni ili ashindane nae..... KIJANA aliamua kusimamia uhesabiaji kura mwenyewe, unajuwa alianguka hadi sasa yuko hospitali kwani kila kura aliandikwa yeye.... matokeo yanatangazwa kafungia drip, MSHINDI HUYOOOOOOOO, CHIKAWE KAPIGWA CHINI................

  Kwa upande mwingine, MNALI yule mkuu wa wilaya mchapa viboko kashinda MWENYEKITI WA CCM wilaya ya NACHINGWEA......... HAYA ni mabadiliko makubwa ndani ya haya MAGAMBA SUGU......

  nimefurahi, napenda mabadiliko kila mara kwa kila jambo!!!!!!!!!1
   
 2. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mnali anafanya nini huko Magambani! Mbona haendani nao na siasa zao za kuleana?
   
 3. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hongera Chikawe kwa kugaragazwa na mtoto mdogo.Ni kwamba watu wamewachoka ingawa hamtaki kulikubali hilo. Taratibu mnaanza kuonja joto ya jiwe. Mnavuna mlichopanda. CCM inapaswa kushambuliwa kama kibaka alipora mkufu maana inatengeneza mibaka wa kubaka uchumi wetu.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Chikawe should now read the writing on the wall that his time is up; come 2015 he should quietly leave the stage to avoid a shameful departure from politics!!
   
 5. A

  Ame JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Inawezekana pia huyo kijana wenu anamshikia mtu nafasi ili afikishe lengo fulani....On the other hand huyo Chikawe yawezekana kabisa anazingatia professionalism katika kazi yek ambayo ni sumu kwa magamba na hasa wakati huu wa katibampya so hilo kwake ni kama onyo ukiendelea kujifanya Tanzania mbele CCM nyuma hivi ndivyo tunavyofanyaga...lol! Chezea chichiem weye!

  Chikawe kama you think hilo limetokea kwaajili ya uadilifu wako dont ever be worried kwasababu haki haijawahi shindwa..Saidia kuleta ukombozi wa nchi yetu!
   
 6. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,125
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ame Chikawe hana uadilifu wowote ni mfuasi mkubwa na mtiifu wa JK, huyu ndie yule waziri bingwa wa kufungia magazeti! waulize Mwanahalisi!
   
 7. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 22,433
  Likes Received: 28,101
  Trophy Points: 280
  CCM sasa wamegundua kuwa vijana ni mtaji baada ya kuona chadema wanapeta.Hata hivyo, ni imani yangu kuwa haikuwa dhamira yao kuwapa nafasi vijana ila wamejikuta hawana ujanja.Hii pia haitawasaidia kwani imani ya watanzania wengi kwa ccm ya leo ni almost zero.
   
 8. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 13,495
  Likes Received: 1,836
  Trophy Points: 280
  Ukiwa mwanaCHADEMA nashangaa furaha yako inatoka wapi?
   
 9. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  322678_232261330236145_1389283341_o.jpg
  kiboko ya CHIKAWE..... muigizaji wa kijijini, haaaaaaaaaaa
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,034
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mchungaji vile huyu mbona sio mla vumbi?

  sco_jr_ngumi;4758349] View attachment 67264
  kiboko ya CHIKAWE..... muigizaji wa kijijini, haaaaaaaaaaa[/QUOTE]
   
 11. L

  Lwesye JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 5,297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kapewa adhabu ya kuzawadia watu sanda
   
 12. damper

  damper Senior Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nae ni mchungaji!! Wazee kuoteshwa ndoto hawa.
   
 13. B

  Bartazar JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 727
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mabadiliko gani unayoyataka wakati umo ndani ya magamba tu? Unamtoa hakimu nyani unamuweka hakimu ngedere halafu unategemea mabadiliko? CCM inaumwa kansa iliyocheleweshwa kupatia tiba, hata ukimleta malaika hawezi kuitibu!
   
 14. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Duh!Mzee wa APRM akadondokea Pua?Yaan wananchi wake hawaoni mchango wake kwa nchi?Duh!kweli nabii akubaliki kwao:eyebrows:
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,217
  Likes Received: 4,111
  Trophy Points: 280
  Ndie rais mtarajiwa huyoo Chikawe??kazi ipo mbona hakusaidiwa na wanaotaka awe mrithi?kazi ipo!!
   
Loading...