Chikawe aikabili M4C kwa kugawa sanda Misikitini Nachingwea!

Mbunge wa Nachingwea Bw Chikawe, alipopata habari kuwa kizaazaa cha M4C kilicholeta maafa makubwa kwa CCM Mkoani Mtwara kitaingia Wilayani kwake leo J'5 likitokea Wilayani Nanyumbu Mkoani Mtwara, basi jana nzima alikuwa akihaha kwenye Misikiti mbalimbali kama vile Misikiti ya Kata za Namapuya, Nditi, Mtonda, Nachingwea nk akigawa Sanda za kuzikia Maiti kwa biidii! Ingawa matangazo ya mikutano ya leo yalishaanza kutolewa, lakini inasemekana Convoy hilo la M4C limebadilisha ratiba na ruti yake hivyo halitafika Nachingwea leo, bali litafika baada ya siku 3 au 4 hivi likitokea Lindi Mjini, hivyo atakuwa amepata nafasi zaidi kwenda kufungasha Sanda nyingine zaidi za kugawa katika Misikiti ya Kata zilizobakia!

Nawashauri wana bodi waliopo Nachingwea wa printi maoni ya thread hii na kusambazwa kwa watu mbalimbali wa huko, zinaweza kuwaamsha zaidi.
 
Huyu naye amefikia mwisho wa kufikiri kama ni kweli!

Ulishawahi kuona wapi gamba liliwa na fikra za ubunifu? Kitakachokuja kwanza akilini mwake ndicho anachokifanya. Kilichokuja akilini mwake kwanza ni sanda, hivyo hakutumia muda kufikiri matokeo yake akakurupuka kuanza kazi. wananchi hawahitaji sanda bali huduma muhimu kama maji, madawa hospitali na vifaa vya waalimu mashuleni. Yeye kuona sanda dili inanishangaza saana kwni ni muda mrefu sana amekuwa kiongozi.
 
M4C ni noma, inatupa mawe gizani tu, ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah, ujue limempata
 
Mbunge wa Nachingwea Bw Chikawe, alipopata habari kuwa kizaazaa cha M4C kilicholeta maafa makubwa kwa CCM Mkoani Mtwara kitaingia Wilayani kwake leo J'5 likitokea Wilayani Nanyumbu Mkoani Mtwara, basi jana nzima alikuwa akihaha kwenye Misikiti mbalimbali kama vile Misikiti ya Kata za Namapuya, Nditi, Mtonda, Nachingwea nk akigawa Sanda za kuzikia Maiti kwa biidii! Ingawa matangazo ya mikutano ya leo yalishaanza kutolewa, lakini inasemekana Convoy hilo la M4C limebadilisha ratiba na ruti yake hivyo halitafika Nachingwea leo, bali litafika baada ya siku 3 au 4 hivi likitokea Lindi Mjini, hivyo atakuwa amepata nafasi zaidi kwenda kufungasha Sanda nyingine zaidi za kugawa katika Misikiti ya Kata zilizobakia!

ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa du mbavu zaangu jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiii du yaani muheshimwa muzima anawatakia vifo watu kama co uchuro ni nini
 
Hahahahaha., Hakyanani mkuu MgungaMiba sikuamini asee, am sorry but this can't be happening.
No one can do such a thing.. Nooo I know magamba can't think, but this is beyond expectations..:glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha! Usicheze na M4C chini ya majembe kamanda wa Anga, Rais Slaa, Prophet Lema, Jembe la ubungo Mnyika.
Hatoki mtu ndani weyeeee.
 
Mbunge wa Nachingwea Bw Chikawe, alipopata habari kuwa kizaazaa cha M4C kilicholeta maafa makubwa kwa CCM Mkoani Mtwara kitaingia Wilayani kwake leo J'5 likitokea Wilayani Nanyumbu Mkoani Mtwara, basi jana nzima alikuwa akihaha kwenye Misikiti mbalimbali kama vile Misikiti ya Kata za Namapuya, Nditi, Mtonda, Nachingwea nk akigawa Sanda za kuzikia Maiti kwa biidii! Ingawa matangazo ya mikutano ya leo yalishaanza kutolewa, lakini inasemekana Convoy hilo la M4C limebadilisha ratiba na ruti yake hivyo halitafika Nachingwea leo, bali litafika baada ya siku 3 au 4 hivi likitokea Lindi Mjini, hivyo atakuwa amepata nafasi zaidi kwenda kufungasha Sanda nyingine zaidi za kugawa katika Misikiti ya Kata zilizobakia!

Yaani Chikawe ni kilaza hivi? Ningekuwa yeye ningegawa vyandarua, madawa hospital, madawati na chaki, angeshindwa zaidi walao akagawa mabomba ya sindano (syringes).
 
Kwa nini Chikawe ameamua kugawa sanda Nanchingwea? Watu wanakufa sana huko? Kuna mtu mwenye statistics za vifo Nachingwea? Inawezekana vifo ni vingi kiasi kwamba 'stock' ya sanda imeisha!
 
CDM Nouma sana, sasa anataka watu wake wafe ili wazikiwe hizo sanda du!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu,
Kwa watu wa kusini kujiandalia au kuandaa sanda kabla ya kufa ni kitu cha kawaida kabisa.
Kuna baadhi ya watu huwa wanajiandalia sanda pindi watakapokufa basi isiwe tabu kupatikana. Huenda hii ni kutokana na uchumi wa huko kuwa mbaya sana. Wanaogopa kwamba ukifa huenda zisipatikane pesa za kunulilia sanda hivyo huwa wanafanya maanadalizi kabla.

Nimeshuhudia hii mara kadhaa nikiwa mikoa hiyo.

Kwa hiyo chikawe anafanya kitu ambacho si nje ya mazoea ya watu wa huko. Tena huenda wakathamini sana "msaada" huo.
 
Ina maana hitaji kubwa la wananchi wa jimbo la Nachingwea ni sanda na siyo maji au kitu kingine? Hivi kama huna maiti ndani unachukua sanda ya kazi gani au ndo anagawa ili awafukuzie jeshi la polisi kazi ya kuua asingizie CHADEMA?.
Mwenye ufafanuzi atusaidie kwani sipati picha ni kwa nini agawe sanda na si vitu vingine ka Vyandarua au hata mashuka hospitalini?
 
Wa kkunipa sanda kabla sijafa siwezi kuipokea! Walopokea haziwatoshi, bora angegawa neti za mbu.
 
Naomba nisieleweke kuwa nawatukana watu wa kusini, ila najaribu kuelezea falsafa iliyotumika hapo. nitatumia misemo ya kiswahili lakini simaanishi kumtukana mtu/ watu.

kama Mh Chikawe amegawa sanda na watu wakazipokea nasisitiza tena wakazipokea na kumshukuru, basi Chikawe ni Great Philosopher and he is Genius. alichofanya ni kusoma utashi wa watu, mtazamo wao na upeo wao na kuwapa kile kinachokonga nyoyo zao. na kwa kundi hilo alilolenga hata M4C yamkini wakashindwa kulishawishi chochote kwa kuwaambia habari ya elimu, shule, nyumba bora matibabu blablablaaaa.

Hivi uliwahi kuona mbwa akitengewa chakula mezani na uma na kisu? au nguruwe akitandikiwa shuka jeupe alalie? (Msemo tu wa kiswahili) Hebu na mheshimiwa mwingine ajifanye kupeleka sanda Bukoba, Arusha au Musoma aone cha mtema kuni.

Wadau wametoa maoni yao, eti angepeleka vitabu, Sindano, madawa nk. Hivi mnasahau kuwa kuna kundi la watu wanatorosha wagonjwa hospitali wanapeleka kwa kalimanjira? sasa ukiwaletea dawa watakuelewa? Na wengine watoto wao wanafaulu darasa la saba wanawaficha ili wasiende sekondari, hivi ukiwaletea vitabu hawa watakuelewa?

Mheshimiwa kacheza na uhalisia wa maisha, akili na upeo wa watu na bahati nzuri kapata kundi alilolenga.

Maskini watu wa kusini??
 
Yaani inaniwia vigumu kuamini!!! Inawezekanaje mtu akakosa busara kiasi hicho!! Badala ya kupeleka madawa mahospitalini wananchi wasiendelee kufa kwa vifo visivyo vya lazima.... anapeleka SANDA!!!! Guys.... Am I missing something here??!!!... What a lunacy??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom