Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,313
Chifu Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa kimila wa kabila la kizulu anahutubia muda huu J'burg kujaribu kutuliza munkari wa vijana wake kuacha kushambulia watu wa mataifa mengine.
Vijana wamegomea hotuba yake wanaimbaimba zile nyimbo zao na hawajataka kumsikiliza kabisa. Hali ni tete jamaa wamebeba fimbo na ile mikuki yao huku wanaimbaimba zile nyimbo zao.
Ni hatari.
Source: SABC TV