Chief Mkwawa na wadau wengine mnaizungumziaje hii device?

Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
362
209
Samsung galaxy grand prime pro 2018 sifa zake 5inch qhd super Amoled display,snapdragon 425 4g lte,android 7.1.1 with samsung experience 8.5,16gb rom expand up to 256Gb sd card,1.5gb ram,camera quality unarecord video full hd inasifa nyingi sana battery chaji inakaa nachaji mara1 kwa siku nikiwa nimetumia sana battery 2600mah ina feature nyingi sana kama kuamisha app mfano ma game kwenye sd card,mult window,dual messenger unatumia fb app mbili WhatsApp app mbili nk.Hizo ni baadhi tu kiukweli ni nzuri nahisi kama niko na s8
 
Nami naitumia hii sinu. Napenda sana ubora ea picha zake na display yake ni super amoled. Hii simu ni kari sana. Ngoja mnyaru aje atusaidie kimaelezo zaidi. Please naomba unitag
 
haina ubora sema ya kawaida tu ila kumbuka saizi snapdragon 845 ndio inayotumika linganisha na kwako hiyo uone kama inafaa
 
haina ubora sema ya kawaida tu ila kumbuka saizi snapdragon 845 ndio inayotumika linganisha na kwako hiyo uone kama inafaa
Snapdragon 845 ni flagship hii grand prime pro ni budget nzuri sijaona tatizo tangu ni tumie iko fast & smoothly haina lagy yoyote wala haichemki hata games unacheza bila shida yoyote
 
Nami naitumia hii sinu. Napenda sana ubora ea picha zake na display yake ni super amoled. Hii simu ni kari sana. Ngoja mnyaru aje atusaidie kimaelezo zaidi. Please naomba unitag
Nikweli kabisa inakufanya utumie pasipo kuichoka
 
ram ingekuwa 2gb.ingependeza zaid
Ni kweli ila hata hiyo iliyonayo ni bora sana nimelinganisha na infinix note 4 pro yenye 3Gb ram 32Gb rom bado iko faster kuliko hiyo kwenye 4G lte
 
Vipi kuhusu uimara wa kioo chake uko je?
Kioo kina ubora mzuri sana ukitumia utakubali mwenyewe ingia google search grand prime pro au tembelea www.samsung.com kwa taarifa zaidi gsm arena inajulikana kama j2 pro 2018
pk-galaxy-grand-prime-pro-smj250-sm-j250fzddpak-frontgold-88218809.jpeg
 
Back
Top Bottom