Uchaguzi 2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

Si ndio muendelezo wa comedy huu au wewe unaonaje
Comedy.

Uzuri Mkurugenzi NEC, kasawazisha mambo baada ya kuongeza muda wa kuapisha mawakala.

Vinginevyo kungetokea madhara makubwa sana.

Hata hawa wasimamizi kudhuriwa wao na familia.

Watu wana hasira haki zao zikichezewa.
 
Comedy.

Uzuri Mkurugenzi NEC, kasawazisha mambo baada ya kuongeza muda wa kuapisha mawakala.

Vinginevyo kungetokea madhara makubwa sana.

Hata hawa wasimamizi kudhuriwa wao na familia.

Watu wana hasira haki zao zikichezewa.
Hayupo wakuwadhuru
 
Naamini vyombo vya usalama na ulinzi watakunyang'anya silaha zako haraka haraka ili usije ukawadhuru wasimamizi wa uchaguzi kama unavyodai unataka kuwadhuru!
Siwezi kumdhuru mtu.

Wapo watakaoenda mbali kuleta fujo DHULUMA ikifanyika.

Wakitenda HAKI hamna uvunjifu wa amani utajitokeza.
 
@Maxence Melo comment za namna hii ziangalieni sana, hakuna mtu au taasisi yenye nguvu kuliko Serikali mahali popote duniani.
Sio kweli,.nguvu ya umma ni kiboko ya serikali nchi zote zenye machafuko zina serikali
 
Back
Top Bottom