Uchaguzi 2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

Kumbe hujui hao million 6 walikuwa washabiki wa Lowassa wakiwemo wanaCCM na wengi wao wamesharudi CCM. Tarehe 28/10/2020 utaamini mkuu
Acha ujinga serikali za mitaa 2014 tulishinda 30%+ ya vijiji na mitaa vilivyopigiwa kura Lowassa alikuwepo?

Ukiunganisha kura alizopata Dk Slaa na Lipumba 2010 inakupa 38% ambazo ni tofauti ya 1% kwa kura za Lowassa sasa kipi alichoongeza?

Mnajua mnaongea vitu bila hta takwimu hta Bila Lowassa 2015 CCM haikua na chake na UKAWA ndio uliupa nguvu upinzani. Huyo Lowassa angeenda ACT ya kipindi kile angekua kama Membe tu
 
Ukiona mtu anatetea ualifu jua na yeye mualifu
You exactly understand the consequence of the peaceful marching that turns violent. Huwa hamna cha wewe ni CCM au CDM ikifikia hatua ya uharibufu. Tumeona USA wakati wa maandamano ya kupinga ukatili wa polisi kwa watu weusi. Maduka ya weusi yaliibiwa na kuchomwa pia. Hata walipowaomba waandamanaji kuwa maduka yale yalikuwa yao lakini Looters glued their ears. Brother usishoboke na VITENDO vitakavyoleta uvunjifu wa amani. Tupinganeni kwa hoja MWISHO baada ya UCHAGUZI tutabaki ndugu na rafiki. Mpaka hapa tulipo binafsi sijaona kasoro Kubwa ktk zoezi hili. So let's be patient
 
Back
Top Bottom