CHIDI BENZ...... SAMAHANI LAKINI!!........Kuuliza si ujinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHIDI BENZ...... SAMAHANI LAKINI!!........Kuuliza si ujinga

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Igangilonga, Oct 10, 2012.

 1. I

  Igangilonga Senior Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna habari fulani fulani nilisikia kuhusu jamaa siku za nyuma nikazipotezea sababu jamaa nilikuwa namuaminia kuwa ni "mgumu" (hardcore) ila hili la kuvaa kipini cha puani (kishaufu) mmmh limenistua, inakuwaje hii? au.............? hebu cheki hii picha hapo chini....

  Chiddy Benz.JPG
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ungekutana nae uso kwa uso halafu umulize hilo swali lako sipati picha hilo vumbi lake kama kina baba ubaya sura uoni ila miguu isiyokuwa na kiatu inaonekana tehe tehe
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,201
  Likes Received: 4,084
  Trophy Points: 280
  Huyu Chidi nae haeleweki,ni kiwembe acha mchezo anafyagia vicheche kwenda mbele na mlevi wa kutupwa sasa ukichanganya na mambo yake ya vipini tena haeleweki,isije kuwa "mchicha pori" maana nasikia kaka yake yuko UK anahizo tabia hata kwao wamemsusa maana anaishi kabisa na jibaba moja baunsa mtanzania mwenzake,amemuweka kinyumba!wenye data watazimwaga hapa ila stori ndio hiyo!!!!
   
 4. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,506
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  Yaani hivi unavyomjadili hapa ndo lengo lake, mkiacha kumjadili atakuja na KIKUKU mguuni. chezea umaarufu wewe!!!?
   
 5. S

  SHERRIE Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh, kama ndo hivyo mi naomba tumpotezee hadi avae kigauni na skuna kabisa.
   
 6. s

  sam023 New Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  its too nice photo of him
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  na huyu naye alikuwa punga?
   
 8. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,861
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kwani yeye ni nani bana? Anaweza kuwa alikuwa wanampumulia tu! Tena hao wamarekani ndiyo hawaaminiki kabisa, nyie endeleeni kuiga.
   
 9. cmoney

  cmoney JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 899
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 80
  ah ah wabongo mnapenda iga vya wazungu cheki hapa jamaa walimlaga kiboga http://www.google.com/search?q=tupac+was+raped+in+jail+wendy+william&ie=UTF-8&oe=UTF-8&hl=en&client=safari
   
 10. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  na we vaa iko kipini,bikn na chachandu kabisa,eti kisa tupak kavaa
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,695
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  Halafu lile vumbi linaandikwa kabooom
   
 12. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,695
  Likes Received: 1,121
  Trophy Points: 280
  Vicheche gani alivyofagia? Kinyumba ndogo changu hakipo kweli?
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Huyo aneyem-busu ni Nuru The Light?
   
 14. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  unajibu swali kwa kuuliza swali jingine!!!!mkuu vipi,..prove 2pac alikuwa shoga
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
  jibu swali wewe!!!!
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,853
  Likes Received: 3,132
  Trophy Points: 280
 17. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  swali gani?kwamba chid na pac ni ma gay au?go to hell
   
 18. I

  Igangilonga Senior Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 121
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Yes ni yeye nuru the light na picha nilitoka kwa blog yake
   
Loading...