Chid Benz: Nilikuwa natumia hadi laki 4 kwa siku kwenye madawa ya kulevya

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Msanii huyo amesema kiasi hicho ilikuwa ni kulala hotelini na kununua madawa na alikuwa akizipata kwa kupiga mizinga

 
Nikajua picha inayoonekana ndio yenyewe kumbe cover nilipomuona naona bado anasafari ndefu
 
Nilidhani ndiyo kawa hvi... Halafu hii chai ya rangi haina sugar anatulisha na kashata....
default.jpg
 
400,000 * 30 = 12,000,000
Watu wana hela buana!
.
.
Hivi amejenga hata kibanda cha kuku? Nauliza tuuuu
 
Ukitaka Kuwaelewa Mastar Wa Kibongo Kwenye Figures, Uwe Unapunguza 0. Gharama Aliyotumia Mil20, Atasema Mil200. Mabinti Wao Ugomvi Upo Kwenye Umri, Nao Ukitaka Kuwaelewa Uwe Una Minus 5 Ndo Utapata Umri Halisi.
 
I bet wote mnaobisha hamjaisikiliza hiyo video kuona ni namna gani amefikia hiyo 400K!!!

Na msisahau ni Chidi huyu huyu mwaka 2014 alikamatwa na "kete"(???!!!) 14 za drugs na alikutwa pia na kigae pamoja na kijiko kilichokatwa suggesting hizo drugs ilikuwa ni kwa matumizi yake!!!
 
Mi naona cha msingi HAISAIDIE POLISI KUSEMA ALIKUWA ANANUNUA WAPI ......Hiyo kutumia laki 4 kwa siku atajijua mwenyewe.
 
Back
Top Bottom