Chicken layer cages mpya na imara zaidi

MWILONGO

Member
Jun 11, 2012
86
10
Chicken layer cages mpya na imara zaidi

Cage yenye uwezo wa kuchukua vifaranga idadi 400 ni 460,000/-Tshs.
Cage yenye uwezo wa kuchukua kuku wa mayai idadi 128 ni 1,300,000/-Tshs
Cage yenye uwezo wa kuchukua kuku wa mayai idadi 96 ni 1,000,000/-Tshs
Cage yenye uwezo wa kuchukua kuku wa nyama idadi 120 ni 1,250,000/-Tshs
Endesha shughuli za ufugaji wa kuku kwa njia za kisasa zaidi1!!
TUPIGIE AU SMS 0788-407407
Follow us instagram @shambashambatrading
Follow us facebook @Shambashamba Supply Trading




jnnbgtgukbvgi7.jpg
 
Hiyo akaunti ya instragram umeiweka private kama vile sio akaunti ya biashara
 
Back
Top Bottom