Renatus Edward
Member
- Aug 2, 2011
- 50
- 55
Huyu kijana ni talented sana pia anao moyo wakusaidia wenzake ndo maana kila analofanya linageuka kuwa lulu na kuigwa na wasanii wenzake,tangu aingie rasmi kwenye game ya bongo fleva 2009 ameshafanya makubwa mengi na kusemwa sana lakini hakati tamaa,kila msanii wa Tanzania anataka kuwa kama Chibu..kila ngoma anafit tena vizur kabisa sijawahi ona msanii kama huyu anaebadilika kila wimbo anaoutoa,ngoma ya Chege "Waache waoane" alinikosha sana nimeikumbuka leo...Keep going Simba ulitoa salome ya Saida saiv kila msanii anaetoa nyimbo lazima amkumbuke mama Saida Karoli...endelea kuwanyoosha na kuwafungulia njia Simba mzee wa kusimamia show mwenyewe Wasafi beach party,siyo kama wale wanaotumia mda mwingi kutengeneza koo na kuimba kama wanaimba nyimbo za kaswida.