Chezea taikwondo wewe

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,720
1416964613018.jpg
 
Hilo pigo linaitwa "yoko geli kekomi"...

Kwa wale wanaocheza mtindo wa shotokan watakuwa wanatambua hiyo striking techinique "uchi waza" au kicking techinique "geri waza"...
 
Mmh... Uchi waza...!!!
 
Hilo pigo linaitwa "yoko geli kekomi"...

Kwa wale wanaocheza mtindo wa shotokan watakuwa wanatambua hiyo striking techinique "uchi waza" au kicking techinique "geri waza"...
yoko geri kikomi kwenye shotokan karate si ilitakiwa akunje kisigino hapo mzee, au? pigo linarorushwa kwa kurudi nyuma kwa namna hiyo lakini unatumia kisigino, kama pigo hilo likimkuta tumboni current ya mapigo yake inatiririka hadi kwenye uti wa mgongo na unamvunja kabisa au unaweza kumpaisha akadondoka hukoooo.
 
Nikikutana nawe njiani kabla hujanikaribia nakupelekea tairi
 
sasa sia ajabu nanipelekea tairi mimi mwenye prado wakati wewe unayo suzuki swift. kwani ukiniona utaamini kwamba nina utaalamu wa hayo mavitu? utanidharau lakini wote tukishuka kwenye gari, labda nimekugonga ukaamua kuwaonyeshea watu kuwa unajua kuniadhibu mbele ya watu, hapo hautaamini kitakachotokea kwasababu Mungu akikusaidia sana utaamkea ICU la sivyo tutakuja kukukuta ahera siku ya mwisho ukitusubiria.
 
Hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa hahahahaaa
 
Hilo pigo linaitwa "yoko geli kekomi"...

Kwa wale wanaocheza mtindo wa shotokan watakuwa wanatambua hiyo striking techinique "uchi waza" au kicking techinique "geri waza"...

Angempa mai geri, jamaa akae chini kdgo
 
mbona kama mawashi geri ya uso?

Angempa mai geri, jamaa akae chini kdgo

yoko geri kikomi kwenye shotokan karate si ilitakiwa akunje kisigino hapo mzee, au? pigo linarorushwa kwa kurudi nyuma kwa namna hiyo lakini unatumia kisigino, kama pigo hilo likimkuta tumboni current ya mapigo yake inatiririka hadi kwenye uti wa mgongo na unamvunja kabisa au unaweza kumpaisha akadondoka hukoooo.

Hilo pigo linaitwa "yoko geli kekomi"...

Kwa wale wanaocheza mtindo wa shotokan watakuwa wanatambua hiyo striking techinique "uchi waza" au kicking techinique "geri waza"...

Hapa tuwaachie hawa wajuzi watujuze ila wasiturushe roho na terminology zao za kijep
 
Hilo pigo linaitwa "yoko geli kekomi"...

Kwa wale wanaocheza mtindo wa shotokan watakuwa wanatambua hiyo striking techinique "uchi waza" au kicking techinique "geri waza"...

Kaka hii inaitwa mawashi geri keage

Inapigwa kwa mguu kama vile mtu anapiga kofi

Yoko geri ni kama upanga yaani unampiga mtu kwa kutumia kingo (jina zuri sijui) za mguu

Kama sio haka ka tochi kangu ningekuwekea picha
 
yoko geri kikomi kwenye shotokan karate si ilitakiwa akunje kisigino hapo mzee, au? pigo linarorushwa kwa kurudi nyuma kwa namna hiyo lakini unatumia kisigino, kama pigo hilo likimkuta tumboni current ya mapigo yake inatiririka hadi kwenye uti wa mgongo na unamvunja kabisa au unaweza kumpaisha akadondoka hukoooo.

Nahisi unachanganya madesa boss
Teke linalopigwa kwa kukunja kisigino na kupigwa kwa kurudi nyuma linaitwa "ushiro geri" waswahili wanaliita teke la punda
 
Ukioa mwanamke kama huyu inabidi tu uwe mpole na mwangalifu sana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom