Chezea mshahara usichezee kazi -kumekucha dodoma ni filbert bayi tena

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,020
Usiku mwema mwenye kuumia na aumie mwenye kucheke karibu rosegarden tule raha na toc
kila la kheri mzee wangu majungu ni mengi watenda kazi wachache
 
Bora huyo mzee aliyeshinda hilo ngubi lililoshindwa linauchuwa madalaka mno mpaka linaanza kuleta vurugu mkoani kwetu
 
Mwakalebe yule mwenye tuhuma za rushwa Iringa ? Hawezi kushinda uchaguzi wowote !
 
Aisee lile alina adabu kabisa limeiba kwelii tff alafu likafungua maduka ya michezo kariakoo na kuiba ile mipirira ya fifa na vinginevyo aisee alina tofauti na ndolanga ukwelii bayi akuwa chafua langu alipokuja huyu nikaona hata inzi agombee apewe kura kuliko kumpa huyu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom