Chezea masai ww

wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
408
248
Mmasai alipewa kipaza sauti kwenye msiba aseme japo machache, akasimama akasema.. "Musiba Oyee!!" Jenesa safiii! Amependesa hajapendesa!!? Basi mwenye wifu ajinyonge kwansa kabisa napenda sukuru marehemu sababu yeye nakufa nafanya sisi nakutana na tunakula wali muzuri leo tumekunywa bia na maji ile nauswaga dukani naomba keso ife ingine tuendelee kubaki hapa paka siku ya munada ifike. Musiba oyee!! itikia basi. Mbona nanyamasaa!!
 
Mmasai alipewa kipaza sauti kwenye msiba aseme japo machache, akasimama akasema.. "Musiba Oyee!!" Jenesa safiii! Amependesa hajapendesa!!? Basi mwenye wifu ajinyonge kwansa kabisa napenda sukuru marehemu sababu yeye nakufa nafanya sisi nakutana na tunakula wali muzuri leo tumekunywa bia na maji ile nauswaga dukani naomba keso ife ingine tuendelee kubaki hapa paka siku ya munada ifike. Musiba oyee!! itikia basi. Mbona nanyamasaa!! Chezea masai weee
Nzuri hii nimeipenda ila hayo maneno matatu ya mwisho ungeyaondoa joke ingekuwa poa zaidi.
 
Mmasai alipewa kipaza sauti kwenye msiba aseme japo machache, akasimama akasema.. "Musiba Oyee!!" Jenesa safiii! Amependesa hajapendesa!!? Basi mwenye wifu ajinyonge kwansa kabisa napenda sukuru marehemu sababu yeye nakufa nafanya sisi nakutana na tunakula wali muzuri leo tumekunywa bia na maji ile nauswaga dukani naomba keso ife ingine tuendelee kubaki hapa paka siku ya munada ifike. Musiba oyee!! itikia basi. Mbona nanyamasaa!!

Cc. Babarita
 
Last edited by a moderator:

Crazy !!:hand:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom