Chezea Jeshi wewe?? Jeshi lipo imara bhana!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
189588_451442484886618_2051505543_n.jpg


8680718.jpg
...Usingizi nooma.
 
Yap wajeda wa ccm hao. Maisha magumu mjeda naona kaamua kuunguza maini na double punch! Hapo ni njaa tu inamsumbua.
 
Huyu Sergeant wa TPDF, tena ni Military Police na kiroba cha Konyagi daaaaaah!!haya bhana!!Jeshi letu....[QUOTE=ngoshwe;5328077]
189588_451442484886618_2051505543_n.jpg


8680718.jpg
...Usingizi nooma.
[/QUOTE]
 
Huyo MP utaambiwa sio sare za JWTZ we subiri, na utaambiwa wanajeshi wetu ni wakakamavu.
 
Back
Top Bottom