Chezea awamu ya magufuli wewe ,hakuna msanii kutoka nje ,saizi watu wanajificha kwenye kivuli cha uzalendo

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Fiesta imekuwa doro


Magu kaza endelea kukaza tuheshimiane

6d9f5f104e5f51ecde0e9ccc085d32a8.jpg
 
Hivi kwanini habari za fulani kushindwa au kuyumba huwa zinakonga sana nyoyo zetu Watanzania?
 
Show ya jana wamevurunda sana wana force kufanya live i hope next time ikifanyika azam complex watajirekebisha
 
Back
Top Bottom