Cheza na Wananchi wa Jimbo Lako; Usicheze na Chadema.

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Wasaliti wote lazima kuzoma alama za nyakati.

Tanzania tunataka mabadiliko.ukombozi.

inashangza kuona wengine wanataka umaarufu. umarufu wa mtu binafzi hauwesi kuondoa matatizo yetu kama nchi. lazima tuwe sirias.

na huu ndiyo ujumbe wetu wa leo
 
Sasa unaongea kama mtanzania mzalendo japo kuna chembe za chadema& ant-zitto...!
Big up for trying
 
Chadema waache malumbano yao, sisi wananchi hamkutuahidi malumbano mlituahidi maendeleo ya nguvu ya uma peoles power, sasa haya malumbano kati yenu ni ya nini? Tunataka maji, umeme, barabara,hospitali, shule, na maisha bora kwa kila mtanzania
 
wacha watu walambane bwana! maisha ulishaahidiwa bila mafanikio na haukwenda kuuliza kulikoni?:embarrassed:
 
kuna kitu kimefichika ndani ya chadema,zitto wakati wakampeni zake huko kigoma,siku moja mnamo majira ya saa saba usiku akiwa maeneo ya mwanga hapo kigoma aliulizwa swali ni kijana mmoja anaitwa jumapili bulafya ya kua vipi kuna mgogoro gani kati yake yeye na uongozi wa chadema mpaka wamkatalie kugombea ukatibu mkuu?na pia akaulizwa ya kwamba ni kweli mboye na edwin mtei ni mtu na baba mkwe wake? Majibu aliyoyatoa ni kwamba kuhusu viongozi wa chadema wala kijana huyo asihofu kwani zito atawanyoosha tu. Na kuhusu hizo ni kampeni za mwishonimwishon za ubunge kwani atakuja siku moja kuwaomba URAIS.hayo maongezi niliyapata kipindi cha uchaguzi.mi nadhani umakini wa hali ya juu unahitajika ndani ya chadema.kuna sumu inawekwa kukiuwa chama hicho. Good luck CDM
 
kuna kitu kimefichika ndani ya chadema,zitto wakati wakampeni zake huko kigoma,siku moja mnamo majira ya saa saba usiku akiwa maeneo ya mwanga hapo kigoma aliulizwa swali ni kijana mmoja anaitwa jumapili bulafya ya kua vipi kuna mgogoro gani kati yake yeye na uongozi wa chadema mpaka wamkatalie kugombea ukatibu mkuu?na pia akaulizwa ya kwamba ni kweli mboye na edwin mtei ni mtu na baba mkwe wake? Majibu aliyoyatoa ni kwamba kuhusu viongozi wa chadema wala kijana huyo asihofu kwani zito atawanyoosha tu. Na kuhusu hizo ni kampeni za mwishonimwishon za ubunge kwani atakuja siku moja kuwaomba URAIS.hayo maongezi niliyapata kipindi cha uchaguzi.mi nadhani umakini wa hali ya juu unahitajika ndani ya chadema.kuna suma inawekwa kukiuwa chama hicho. Good luck CDM
 
zito ndie Zito Kabwe kibaraka anayejikomba kwa Jk eti ni personal friend . Why mpinzani sasa ? Haiingii akilini huku ni mpinzani huku ni rafiki wa mpinzani wake . Hatuwezi kuendelea na unafiki wa aina hii.
 
zito ndie Zito Kabwe kibaraka anayejikomba kwa Jk eti ni personal friend . Why mpinzani sasa ? Haiingii akilini huku ni mpinzani huku ni rafiki wa mpinzani wake . Hatuwezi kuendelea na unafiki wa aina hii.

e frendi ovu awa enemi iz olso awa enemi.
 
Back
Top Bottom