Cheyo Wa UDP Yuko Wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheyo Wa UDP Yuko Wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Jan 27, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Wakuu naomba kuuliza yule mbunge na muasisi wa chama cha UDP na alikua ni mbunge AKA Bwana Mapesa yuko wapi? na je bado ni mbunge na pia chama chake kina wabunge wangapi? Asanteni.
   
 2. W

  WildCard JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Ni Mbunge na Mwenyekiti wa "maisha" wa UDP.
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu lakini chama chake kina viti vingapi pale mjengoni?
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Unapozungumzia UDP maana yake unazungumzia John Cheyo, na yeye ndio mbunge pekee kutoka chama hicho. kama ilivyo kwa TLP.
   
 5. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wabongo, kila mtu ni fisadi kwa uwezo wake!!!
   
 6. Innobwoy

  Innobwoy JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 980
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  Na ndio leo kwenye magazeti nimesikia akiwasihi kambi pinzani wasigombee vyeo.
   
Loading...