mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,434
- 5,535
Ni lile kopo la chooni lilipata kutuCheyo ndiyo nani?
Ni lile kopo la chooni lilipata kutuCheyo ndiyo nani?
Bonge la fataki, Rehema Chiza alikuwa ameokoka kikamilifu, alimshinda ibilisi Cheyo na mapesa yake. Rehema Chiza ni msichana kioo kwa wasichana wanaothamini kesho yaoSo huyo mzee ni fataki mzoefu ?
Huyu Rehema Chiza ni Yupi? Kuna Rehema Chiza, nilisoma naye Bangalore in 90's; Walikuwa wawili tuu wasichana kwenye Comp Engineering darasa loteRehema Chiza
Unataka ubuyu?Huyu Rehema Chiza ni Yupi? Kuna Rehema Chiza, nilisoma naye Bangalore in 90's; Walikuwa wawili tuu wasichana kwenye Comp Engineering darasa lote