Mume ameficha Cheti cha ndoa nifanyeje?

Molimi

Member
Sep 10, 2018
17
19
Jamani wanasheria mume ameficha cheti cha ndoa naisi cheti amekichana VIP naweza pata kingine ndoa ilifungwa bomani ,ili niweze fatilia talaka rasmi na matunzo ya mtoto,nimebaki sins ushahid in ndoa ya miaka 4
 
Kwani haiwezekani kumshitaki hivyohivyo? Mbona huku kwetu kuna mtu kamshtaki bwana wake....
 

Mume nae akajiandaa.
Na alijua mkewe akili zake fupi atakimbilia kwenye cheti cha ndoa ili kujidefend na kudai wagawane vitu jamaa akakihamisha chap kwa haraka. Sasa sahivi kidhibiti hamna, litafuata jibu la huyu ni mke wangu na bado nampenda halafu mkong'oto unaendelea!
 
Cheti cha ndoa sio lazima miaka 4 io ndoa ni valid kumbukumbu zipo bomani ,kama ndoa imevunjika broken irreparable km unahitaji kumpa talaka anzia balaza LA usuluhishi conciliatory board wakishindwa kusuluhisha watatoa certificate of non reconciliation kwenda mahakamani kisha utaomba io talaka for reasonable ground if you need divorce huwezi kukulupuka tu kuomba talaka lazima kuwe na sababu za msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom