Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,772
Tumia zako mwenyewe. Kwenye jina la baba na mama weka jina lilelileHabari zenu wakuu,
Kwenye suala la cheti cha kuzaliwa hapa Tanzania ni lazima sehemu ya wazazi wa mtoto Baba na Mama majina yao yawekwe. Hili linaleta ugumu kwa single parent ambapo unalazimishwa kumuweka mtu ambaye hana msaada na wewe tangu ujauzito na wala hakusaidii chochote na ukute hajawahi kumuona huyo mtoto tangu azaliwe.