Cheryl Cole holds on to her crown as Sexiest Woman In The World for second year.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheryl Cole holds on to her crown as Sexiest Woman In The World for second year....

Discussion in 'Jamii Photos' started by FirstLady1, Apr 29, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jamani ni vigezo gani vimetumika hapa.... nipeni Dataz.................
  1.
  [​IMG]
  [​IMG]
  washindani wengine hapa chini:-

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  na wengine na wengine.....
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  The top 10 from this year's list is...

  1: Cheryl Cole
  2: Megan Fox
  3: Marissa Miller
  4: Frankie Sandford
  5: Keeley Hazell
  6: Kristen Stewart
  7: Kelly Brook

  8: Adriana Lima
  9: Jessica Alba
  10: Abbey Clancy
   
 3. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  nampenda megan fox
   
 4. vkeisy2006

  vkeisy2006 JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 230
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  yani i love that movie jennifer's body..........
   
 5. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mbona Kim Kardashian hayumo? Wanaopanga hii list ni Mashoga wa kikweli maana wanachagua wanawake wanaoonekana kwa mbali kama Wanaume. Kutoka juu hadi chini KANYOOKA. Hamna umbo nane hata sehemu moja, WTF?!!
   
 6. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hata ukipewa vigezo unaweza usivikubali, si unajua anayeonekana sexy kwa A anaweza asionekane hivyo kwa B? Wewe mkubali tu Cheryl Cole kama the sexiest womanin in the World hatakama kuna mwanamke unayemjua na unadhani angemshinda Cheryl!
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sikonge umenichekesha sana ndo maana nikauliza ni vigezo gani vinatumika
  mie nikiwaangalia hao kina dada napata kizunguzungu
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni kweli consiglior lakini itabidi nipekue vigezo ...
   
 9. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Unafahamu hawa wanaume woote wanaotamba kwenye dunia ya maonyesho ya nguo, wengi wao ni mashoga. Sasa zamani wengi wao walikuwa wakijificha kujitangaza kuwa ni mashoga. Sasa kwa sababu dunia ya ununuzi nguo imetawaliwa na WANAWAKE, hawa jamaa wakawa hawana jinsi ila kuvumilia. Ilipofika kipindi wakaanza kutawala huko, basi yale maumbo ya WANAWAKE wa kweli yakawa yanawatibua sana hawa mashoga. Ndipo ikaanza kampeni ya chinichini ya kuwatengeneza WANAWAKE waonekane kama wanaume. Dawa ni moja tu, nayo ni kumkondesha huyu binti hadi akome ubishi wake. Unakuta Mwanamke mreefu halafu mwembamba utafikiri mwanaume wa Kitusi/Kisomali. Kakipita na gauni inakuwa kama vile gauni imetundikwa na suruali anakuwa kama vile KAINGIA na akajifunga na si KAVAA.

  Siyo ngoja tubaki na mimama iliyoshiba. Ukimuona Salma Kikwete kifua chake, unakubali kuwa YES. Ukimuona Mama Obama, Jennifer Lopez, Shakira (haka wakati mwingine nako kanakondeana na walikanyonya mafuta), Serena Williams, Beyonce wa kutoka Texas, Cheusimangala nk hapo unakubali kuwa umeona mwanamke wa kwelikweli. Wee mwanamke na mwanaume kitandani, kama ni giza unaweza kukosea maana Mwanaume anakuwa na makalio makubwa kuzidi Mwanamke, maajabu haya.
   
 10. joellincoln

  joellincoln Senior Member

  #10
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hhahahah sikongeee hahaha! Para ya mwisho mistari miwili hapo chini inafurahisha
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sikonge katika siku nilizocheka ni leo
  Uko serious au unatania ....
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ndo maana naendelea kushikilia,Girl Friend wangu akiwekwa hapo atawatoa wote....
   
 13. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  FL1,

  Nitanie kivipi? Kwani huwaelewi watengeneza nguo maarufu?

  1. Jean Paul Gaultier ni shoga.
  2. Marehemu Yves Saint Lauren alikuwa shoga......

  Hebu angalia hata hili tangazo hapa chini, na mengine kibao yako youtube. Unataka zaidi?


  Huu ulimwengu wa waonyesha mavazi ni ulimwengu wao. Huko ndani ushoga, madawa ya kulevya, na kila aina ya upuuzi, basi umejaa tele. Ila jambo moja inabidi kukubali kuwa hawa jamaa pamoja na mapungufu yao, wameibadili sana dunia. Wazungu wengi kutokana na ile tabia yao ya kujiona Matawi, hawa jamaa siku zote walikuwa wakifanya tofauti na wao ili KUSHOCK. Hapo ndipo yakaanza mambo yoote haya hadi mwisho wakaanza hadi kutumia weusi, kuowa weusi, kutumia watu walio kidogo freak nk nk. Wee hebu fikiri ukumbi mzima umejaa Wazungu na ghafla anaingia huyu dada..... kheeee !!!!!!!
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,126
  Likes Received: 23,736
  Trophy Points: 280
  Ah, Sikonge Bwana-you made my day today. Pamoja na professional yako uliyonayo, lakini vile vile unaweza kuwa comedian mzuri sana wewe-haaaaa!.
   
 15. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,126
  Likes Received: 23,736
  Trophy Points: 280
  <SCRIPT type=text/javascript><!--google_ad_host = "pub-6958755572607374";google_ad_client = "ca-pub-9653839485768321"; google_alternate_ad_url = "http://hubpages.com/google_adsense_script.html";google_ad_width = 468;google_ad_height = 60;google_ad_format = "468x60_as";google_ad_type = "text_image";google_ad_channel = "6259348895";google_color_border = "FFFFFF";google_color_bg = "FFFFFF";google_color_link = "0000CC";google_color_url = "333333";google_color_text = "333333";google_ui_features = "rc:0";//--></SCRIPT><SCRIPT type=text/javascript src="http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/show_ads.js"></SCRIPT><SCRIPT src="http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/expansion_embed.js"></SCRIPT><SCRIPT src="http://googleads.g.doubleclick.net/pagead/test_domain.js"></SCRIPT><SCRIPT src="http://pagead2.googlesyndication.com/pagead/render_ads.js"></SCRIPT><SCRIPT>google_protectAndRun("render_ads.js::google_render_ad", google_handleError, google_render_ad);</SCRIPT>


  Serena Williams in Bikini

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  Bwana Sikonge kwa hiyo wewe ni mpenzi wa wenye minofu yenye nguvu kama hii sio!.
   
 16. firstcollina

  firstcollina JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 349
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Yegomasika hapo umenifurahisha, maana umemfuatiliiiaaaa Sikonge katika arguments zake kisha ukagundua kuwa Sikonge ni mtu wa minofu ya nguvunguvu, very Fantastic. Dah! JF ina raha sana
  nimeipenda sana hiyo.
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mkuu Yegomasika,

  Hiyo ndiyo yenyewe sasa. Ila nikiri kuwa akina mama namna hiyo huwa nafurahi kuwaangalia wakiwa wamevaa nguo au vinguo vichache. Wakibaki wazi, tetetee huwa naanza kuona heri wapungue kidogo.

  Kusema ukweli, napenda kwanza mwanamke mwenye pua kubwa kama ya Leona Lewis, Sarah O'connor nk. Hapo nakuna nywele za kujisokota mama weee, na kumalizia na Kipengule. Dada zangu woote wana mzinga wa pua na kusokota nywele. Sijui ilini-affect? Mengine sisemi.

  Ila tabia ya MWANAMKE jamani ni muhimu zaidi. Nimeona jamaa walioowa wanawake Wazuri sana wakilia kama watoto wadogo.

  Kwa sasa Mkuu, mie ni ARTIST haswaa. Kule kwa samani nilikimbia na Zege halilali nina siku nyingi saaana sijaliona. Mie na Kikwete ngoma droo ila sema mwenzangu ana hela kama nini sijui. Swali gumu kwake litakuwa "Mkwere, how much do you wealthy??"
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  watu mna visa na mikasa hapa dunia
   
Loading...