Cheo na umri havizuii kuenjoy maisha

rr4

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
3,327
4,631
Now we know German Chancellor Angela Merkel is a politician and not a glamour celeb, but she should still keep an eye out for any paparazzi lurkers while on vacation. She did a pretty good job choosing an age-appropriate swim suit, but that lime green automatically puts her in the limelight. It even looks like the man with her is escorting her off the premises, ouch!

angela-merkel-355x280.jpg
 
Cheo au umri havikuondolei uhalisia wa kuwa wewe ni binadamu kama walivyo wengine. Mahitaji na mambo mengine yanabaki pale pale kwa binadamu wote!
 
Ku enjoy maisha ni haki ya kila mmoja. Na kukaa chini kujipigia upatu "mimi mzee" ni kujiondolea spirit ya kufanya kazi zako za kujiingizia kipato. Cha muhimu ni KU ENJOY RESPONSIBLY" mimi navaa vzuri siku zote na sio lazima nguo za bei mbaya. natoka out na mme wangu kila mara wakati ofcn kwetu kuna wadada wadogo wanajiona vibibi kisa kuolewa na kuwa na watoto. Mpaka muonekano wao hauvutii machoni
 
Hapana mkuu cheo wala umri hauna nafasi rejea Rais wetu mstaafu alisafiri kwenda kubembea imagine wewe kubembea labda ubembee uani kwako tena ukiwa mwenyewe ili mtu asikuone lakin Rais na 1st lady walifunga safari kwenda kubembea...Wacha nipate ile picha yao.
 
Back
Top Bottom