Cheo kikubwa kazi zake ndio kama hizi.

KIPUMPUSWA

Senior Member
Jul 16, 2011
106
35
Makamu wetu wa raisi akiwa katika moja ya majukumu mazito ya kulijenga taifa hili changa.
 

Attachments

  • 01-1.jpg
    01-1.jpg
    52.8 KB · Views: 315
Nilifikiri nitamwona amekaa na timu yake wakijadili jins ya kumaliza tatizo la umeme kumbe nikushika mkasi lo! Watz 2mekwisha
 
Job description?
Huyu jamaa anatakiwa a base zaidi kwenye mambo ya Muungano, ya Bara hayamhusu kwa sana.

Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa
ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya
Muungano kwa jumla, na hususan:
(a) atamsaidia Rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku
hata siku wa Mambo ya Muungano

Ib. 47
 
Marekani inaye makamu wa Raisi, lakini wenzetu HAWANA WAZIRI MKUU, Uingereza wanaye waziziri mkuu HAKUNA MAKAMU WA RAISI , nchi zetu kwa kupapalika has za Africa zimeweka wote,makamu na Waziri mkuu ,si ULaaji tu huu angalia jinsi tunavyokimbilia kuomba misaada huko hko kwa wenye serikali ndogo lakini makini. Nchi nyingi za Ulaya mawaziri hazidi 20. angalia nchi za kiafrika mawaziri ututiri 50+ ya nini yoyte. kisingizio kuleta maendeleo karibu na watu sio kweli.Uroho na ulaji tu wa watawala wasiotaka kafanya kazi kwa Taaluma na bidii, bali porojo zamajukwaani tu.

Muda muafaka wa KATIBA MPYA,huu ueleze waziwazi mahitaji ya wanachi sio kungiwa wanataka hiki ama kile. KWANI VYEO VINGINE havitusaidii kujunga nchi bali hunyonya kodi za wananchi. ipo pia mifano mingi , wakuu wa mikoa wana kazi gani, kwani wakuu wa willaya wangetosheleza, wizara mbalimbali ,makamishina mbalimbali,wakurugunzi mbalimbali,mwakuu wa vitengo,nk nk,viangaliwe upya. mbona nchi tajili hazina utitili huu unaojenga urasimu,isipokuwa nchi za kiswahili tuuuuuuuuu, wana JF angalia hili kama tunawekusaidia ktoa mchango.
 
Kuwa na Makamu wa rais ni kupoteza fedha...hakuna cha maana anachofanya zaidi ya kutembea tembea.
 
Kumbe ndiyo maana watu wanapigana vikumbo kutafuta vyeo!!!!!!!!!!!!! Hiki kidingi kilikuwa choka mbaya kama mpira wa makaratasi lakini sasa uongo kimetengeneza shavu, ila kazi yenyewe ndiyo ya kutembea na mkasi.
 
Nasikia ni mtaalamu wa mambo ya Nyuklia! Lakini yote 9 kaja kuambulia kupewa mkasi?? hii sasa basi!
 
Back
Top Bottom