Wakuu tunaelekea kwenye sikukuu za kufunga mwaka. Wengi tumekua na tutakua tukijivinjari kwenye bars na restaurants mbalimbali kwa vyakula na viburudisho. Kumekua na tabia ya wahudumu wa maeneo hayo,ukishalipa pesa itakayohitaji urudishiwe chenji,mhudumu atakuambia chenji inasumbua utamdai mia moja. Ki ukweli wengi huwa wanaamua kuziacha kwa kuwa huwa wana haraka zao. Najua wengi tumekumbwa na hili,tabia hii,kwenye siku kuu hizi,ife!