Chenji ya mradi wa bomba la GAS inatafutwa irudishwe...

SINA JINA1

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
391
151
Kwa hali ya kushangaza na kushtua ni kwamba wale wananchi wa Mtwara vijijini waliokuwa wameshalipwa fidia ya bomba kupita kwenye makazi/mashamba yao, acc zao walizowekewa fedha zimefungwa. Wale ambao walishazichoto imekuwa ni kama neema kwao.

maswali ya kujiuliza ; Serikali inapofanya michozo kama hii inajua madhara yake? Je ndio kusema kuwa serikali imefyata mkia sasa bwana mkubwa anakusanya chenji arudishe fedha za wachina anazodaiwa kuzipiga?

my take:
Sererikali imekuwa ikidharau wananchi kwa muda mrefu sana. Haya yaliuotokea kule Mtwara na yanayoendelea bungeni ni taa nyekundu kwamba nchi nzima sasa moto utawaka kwani hizi ndizo ishara za mabadiliko kwa jamii yoyote kuelekea kwenye maendeleo .
Pia zipo tetesi kuwa Mh. Jk amesalimu amri kwa suala la Gas kutokana na biti zito kutoka kwa Mbabe wa Western Mtoto wa kiluo aka Obama .
 
Back
Top Bottom