Chenge sues NBC for Sh310m | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chenge sues NBC for Sh310m

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Iteitei Lya Kitee, Apr 21, 2010.

 1. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  By Bernard James

  Former Cabinet minister Andrew Chenge has sued the National Bank of Commerce (NBC), demanding Sh310 million in compensation for alleged unauthorised disclosure of his banking details.

  Mr Chenge, who resigned as the minister of Infrastructure Development in April 2008, after a British newspaper published a story linking him to a 28 million sterling pound (about Sh58 billion) air defence radar purchase scandal, says the leakage has “devastated political and social life”.


  In a suit filed yesterday in the High Court, the Bariadi West MP has accused the bank of giving the information to a Kiswahili weekly, Mwanahalisi, which published a story alleging that Mr Chege, a long serving Attorney-General until he resigned to go into politics, held Sh25 million in his account.


  In April last year, Mr Chenge was also reported by the UK’s Guardian newspaper to have $1 million (about Sh1 billion) in an offshore account in Jersey, which disclosed that detectives investigating the sale of the military radar to Tanzania, had traced the account.


  Mr Chenge resigned just four days after the publication of his bank account details by Mwanahalisi.


  In its issue of April 16-22, 2008, Mwanahalisi reported in its lead story that as of April 11, 2008, the former minister had an account balance of Sh25.7 billion.


  The paper, apart from questioning where the former minister, who has never been known to run any business in his 30 years of public service, had got so much money from, also disclosed the names of nine people to whom payments from his account had been made.


  This is the first case Mr Chenge has filed in the court after almost two years of reports in the media on his wealth and the $1 million in his offshore bank account.


  In the plaint, Mr Chenge accuses the bank of failing to strictly keep secret the details of his account, number 011101006950.


  “Reasonable presumption cannot ascribe any other source other than your bank for the disclosure of the information. No stranger from outside the bank could have compiled such a long and accurate list,” the minister states.


  “The publication of the plaintiff’s information was a major reason for a devastating political and public backlash against the plaintiff,” the plaint continues.


  Mr Chenge says he had hoped to continue occupying his ministerial position until the General Election to be held in October.


  Through Mr Eric Ng’maryo of Moshi and Mr Deogratius Mwarabu of South Law Chambers of Dar es Salaam, Mr Chenge claims to have suffered special damage from NBC’s alleged breach of banking secrecy and that he lost 31 months’ expected earnings and benefits from his ministerial position amounting to Sh310 million.


  The lawyers say the disclosure of the information to third parties and the subsequent malicious publication in Mwanahalisi newspaper has had a devastating effect on Mr Chenge’s political and social life, leading to his untold “personal damage, suffering and embarrassment”.


  The plaint adds: ““There is no doubt that in disclosing that information to third parties, the bank knew, or ought to have known, that it would be published in a press attack against Honourable Chenge.”


  The lawyers argue that the defendant has an ethical, professional and legal duty to ensure secrecy of customers’ banking information, “which extends to employees” and that the bank was liable for their breach of duty through unauthorised disclosure of Mr Chenge’s banking information.


  “The information was directly supplied to Saed Kubenea and Mwanahalisi newspaper by the bank or its employee. The publication of the plaintiff’s banking information was politically motivated,” the lawyers say.


  On November 29, 2008, Mr Chenge’s lawyer wrote a demand letter to the bank, claiming Sh1 billion in compensation for damages over the disclosure of the banking information. NBC denied liability for the breach of secrecy.


  But the former minister maintains that the bank was responsible for the disclosure of the information, which was in breach of professional ethics and Tanzania’s banking law.


  “It is also a breach of fiduciary relationship between the bank and client and is in further breach of your strict contractual obligation to secrecy in handling clients’ banking information.”


  Mr Chenge was forced to resign after the local media published a story originating from the British newspaper, linking him to the multi-million dollar radar scandal.


  The disclosure of Mr Chenge’s foreign bank account was made when he was out of the country, accompanying President Jakaya Kikwete during his State visit to China.


  Mr Chenge, apparently angered when asked about the source of his fortune, described the $1 million (over Sh1.3 billion) in his offshore account as “Vijisenti” (pocket change).


  He uttered the word ‘vijisenti’ when asked by reporters upon his arrival at Julius Nyerere International Airport, Dar es Salaam, from China, to comment on the allegation by a British newspaper that he had $1 million in an offshore bank account in the UK.
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Diversion of attention! Hangaiko la mfa maji!
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Is that imply an admission to have in posession of all "vijisenti" in his account ??

  Sijui kama hii Serikali ya JK inaweza kutusaidi sie wanyonge katika hili suala. Kama hakuwa na Fedha nyingi kiasi kilichowahi kuripotiwa na aliwahi kukanusha kumililki akaunti nono, inakuwaje hapa kuituhumu NBC kuvujisha siri ya Akaunti yake??? Ni nani ambaye lisababisha yeye aachie ngazi kama si mwenyewe kuona aibu mbele ya watanzania na kuamua kujiuzuru??. Na alikuwa na uhakika gani kama angeendelea kuwa Waziri iwapo asingekumbwa na kashfa ya ufisadi??

  Ni kwamba hizo fedha katika akaunti anazosema zimevuja aliwahi kuzitaja kwenye orodha ya Mali zake kwenye Tume ya Maadili ya Viongozi??..Vinginevyo yampasa asimame etueleze wa Tanzania tulio Masikini ni vipi alipata hizo fedha kwa nafsi yake kama mtumishi wa Umma ambaye hata kama angekuwa akipokea mshahara wa Milioni Moja Kila mwezi na hata kama alianza kazi tarehe ambayo nchi ilipata uhuru, kamwe asingekuwa na kitita hicho kikubwa cha fedha.
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Anatuondoa njiani ha ha ha ha ha ha ha mpaka atakufa makusudi tu
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Sasa nawerza kuunganisha mambo kiurahisi. Miaka kama miwili iliyopita huyu Vijisenti ndiye alitoa msukumo kwa chombo cha dola (polisi) kufanya kazi kwa ajili ya taasisi binafsi (NBC), yaani kufanya msako (search) katika ofisi za Mwanahalisi kwa ajili ya kusaka docks (bank statements) za wateja wa benki hiyo zilizosemekana zimevujishwa kwa gazeti hilo na afisa mmoja wa NBC.

  Polisi hawa walikubali kutumika kwa kazi private, kwani NBC ni kampuni binafsi, hivyo si sahihi kwa polisi kutumia nguvu za dola kufanya msako kwa niaba yake. Search hiyo ililaniwa sana na wanaharakati mabli mbali kwani ile sheria - Official Secrecy Act - haikuwa imekiukwa hapa bcoz hizo docks zilizokuwa zinasakwa hazikuwa official government documents.

  Nakumbuka manumba aliyeagiza msako huo alipata kigugumizi kikubwa pale waandishi walipombana kuhusu matumizi hayo mabaya ya chombo cha dola. Alionekana kukiri makosa na ndiyo maana suala hilo halikufuatiliwa. Nakumbuka Mwanahalisi ilifungua kesi (civil case) dhidi ya polisi kwa wrongful search.

  Kitu sahihi kwa NBC ilikuwa ni kumchukulia hatua afisa wake huyo aliyedaiwa kuvujisha, na sivinginevyo. NBC isingeweza hata kulishitaki Mwanahalisi. Kwa upande mwingine the only way ni kwa Vijisenti kuishitaki benki yake.
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Ha ha ha ndugu yangu Ngoshwe. Tume ya maadili? ngoja tu sasa hivi Tume hiyo itatoa statement kwamba Vijisenti aliorodhesha mali zake, pamoja na hizo hela Sh 25 milioni! Kwani mwananchi yeyote haruhusiwi kuona orodha za mali za vigogo hawa. Kazi ya Tume hiyo, chini ya Waziri wake mama Sofia, ni kusaidia kiusafisha wezi serikalini, basi.
   
 7. M

  Mndamba Member

  #7
  Apr 21, 2010
  Joined: Jun 22, 2007
  Messages: 50
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkuu hapa tupo pamaja. Hili ndilo lilipaswa kufanyika. Nahakika AC hana maelezo ya vyanzo vya fedha alizonazo zaidi ya wizi. Yaani kuna vitu vingine viko wazi mno kiasi ambacho mtu huhitaji nguvu nyingi kufikiri na kujua kinachoendelea. Kwa ujumla huwa nakosa majibu ya maswali yafuatayo:-

  1. Ni kwa nini basi mtu huju hachukuliwi hatua za kisheria?.
  2. Je ni picha gani serikali inawapa wananchi wake kwa kuendelea kukaa kimya?.
  3. Uko wapi utawala bora?
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hana siku nyingi huyu mtamsikia tu!

  anajaribu kupoteza lengo
   
 9. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #9
  Apr 21, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hee pesa zote alizonazo bado anafungua kesi za madai duu!hebu aache uroho
   
 10. M

  Magezi JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kinacho furahisha ni kwamba Chenge atakufa atazikwa na pesa itabaki juu ya ardhi na wengine watakula, kwani mobutu yuko wapi??
   
 11. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Huu ni ujasiri wa kifisadi kabisa ambao muheshimiwa huyu anatuonyesha. Yaani baada ya kutuibia na kuliingizia taifa hasara kubwa kiasi hicho.......leo anaibuka na sio kukanusha tuhuma alizonazo bali kuzithibitisha kuwa hizo tuhuma ni za kweli (kwamba nilifanya ufisadi uliotukuka nikapata hivyo vijisenti) na kwa sababu hiyo anataka alipwe pesa za fidia ati amepoteza pesa za uwaziri alizotazamia kulipwa baada ya bunge kuvunjwa.(what a joke)

  Yaani siamini ni jinsi gani mafisadi hayana haya hata kidogo. Na kwa vile ninavyoifahamu serikali yetu, wala sitaki kuraise my hopes up kwamba eti TAKUKURU sijui na intellegent gani watamuhoji (maana ushahidi wanao)na labda akafunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi au sijui gani ni uongo mtupu.

  Ama kweli Tanzania ni zaidi ya unavyoifahamu.
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Acha watu wakimbilie siasa shs 310 millioni kwa miezi 31 ina maana ni shs 10,000,000 kwa mwezi, hizi ndio anaweza kuzithibitisha mahakamani, ziko nyingine under the carpet zimeachwa. Duh makubwa haya
   
 13. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Na jiulize kuna mawaziri wangapi? Hlafu tunasema eti Tanzania ni maskini!
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,197
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hiyo cha mtoto, ya wabunge umeiona wanatoka na 46,000,000/= kila mmoja ,wapo zaidi ya mia mbili, bwana acha shule zikose madawati, acha hospitali zikose dawa, acha barabara ziwe mbaya. Hiyo ni gratutity acha sitting allowance ( pamoja na kuwa wanalala ndani ya bunge). Acha watu waingie siasa sio bure ndugu yangu kuna neema huko umeshachagua jimbo?
   
 15. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mbona Feresh hajam-sue kwa hela za Rada yetu
   
 16. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Nasikia kizunguzungu..
   
 17. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Na hata akizikwa nayo, haiwezi kumpeleka mbinguni! sana sana itampeleka motoni
   
 18. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani zake basi??? Si mwizi tu yule..........
   
 19. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  well, mlango umefunguka, tutajua mengi sasa.
   
 20. Tindikali

  Tindikali JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 772
  Likes Received: 555
  Trophy Points: 180

  NBC wana kesi ya kujibu.

  Taratibu na sheria za benki zinakataza kuanika taarifa za mteja, hata fisadi.

  Fisadi wenu mchukueni mkamnyonge na haki yake mpeni.
   
Loading...