Chenge, Ngeleja, Kafumu wafunguka juu ya kuhusishwa kwenye sakata la makinikia

Ze nyoka ze makengeza ze msaka pesa mzee wa vijisenti Mtemi John Andrew Chenge Ze havard graduate akili kubwa amenifurahisha sana.

Kwamba hata salam hataki, nategemea hii wiki haitaisha atakua ameenda mahakamani kuomba court order ya kuzuia watu wa serikali wasimfuate fuate na kumhoji.

Sizungumzi na mtu mimi.

hhahahhahah sounds soo funny...SIZUNGUMZI NA MTU MIMI
 
ndio wakati wa mahakama ya mafisadi kuanza kufanya kazi. waliianzisha kwa mbwembwe ikiwasubiri upinzani sasa wamenasa wenyewe
 
Hii ni porojo kama porojo zingine zirizo pita lugumi iko wapi,hapa tunachezewa sinema tu Hakuna kitakachotokea cz hao mawaziri wote wako na confidently ya ajabu wanajua alie kuwa anawapa maelekezo ambae hao watu ni un-touchable
 
Bado watasema yote wakati ukifika, na hasa chenge
huyu chenge ni jizi lililobobea kila kona yumo,mikataba yote mibovu serikali ilisaini kuna mkono wa huyu jamaa,inasikitisha licha ya kashfa zote hizo bado anaendelea hata kuteuliwa kushika nyadhifa mbali mbali km vile hakuna wasomi wengine.pelekeni hii mutu shamba kidogo ikalime
 
Acha hizo Lissu anawatetea wezi alisema tutashitakiwa hivyo tuwaache waendelee kutuibia!! Yeye ni mwanasheria wa Accacia ndo maana alikuwa anaomba data toka kwa Mwanyika wa Accacia akadukuliwa na dola!!
Hapo kwenye bold sitaki kusema chochote cause sina ushahidi nalo, may be ni kweli au may be sio kweli but kwenye hayo ya kusema tutashtakiwa; labda nikuulize; we unaaamini Barrick/Acacia hawata shtaki? Binafsi nilimuelewa sana Lissu, hakusema kwamba jamaa hawaibi, alitoa ushauri wa kisheria wa namna gani tufanye ili washindwe kutushtaki, yaani tujiondoe kwenye MIGA (sijui ndio kitu gani hicho) na akatoa mifano ya mataifa/marais waliowahi kufanya hivyo. Wenye akili chache wana mwelewa Lissu tofauti but wengine tumelinganisha na kile kilicho tolewa kama mapendekezo na ile tume ya pili na kugundua almost vyote alivyokua anaomba Lissu vifanyike ndio hivyo hivyo walivyo sema and hence to me I take Lissu as a hero on this SAGA
 
Ili uwe mwanachama mwaminifu, mpendwa kwa viongozi, wanachama na wapenzi sisi-em lazima uwe na tabia mfano wa ngozi ya kinyonga. Inje ya hapo huwezi kudumu sisi-em. Nchi hii toka uhuru haijawahi kuongozwa na chama kingine tofauti na sisi-em. Mazuri na mabaya yote tunayoyaona Leo kwenye elimu , afya, maji, barabara, kilimo, mikitaba ya kibiashara na wawekezaji n.k ni matokeo ya Sera nzuri au mbaya za sisi-em toka 1961. Ndugai ni mwanachama wa sisi-em hivyo ukinyonga ni sehemu ya sifa bainishi za uanachama wake.
Kaka mkubwa nimekuelewa sana, thanks for your clarification.
 
Hapo kwenye bold sitaki kusema chochote cause sina ushahidi nalo, may be ni kweli au may be sio kweli but kwenye hayo ya kusema tutashtakiwa; labda nikuulize; we unaaamini Barrick/Acacia hawata shtaki? Binafsi nilimuelewa sana Lissu, hakusema kwamba jamaa hawaibi, alitoa ushauri wa kisheria wa namna gani tufanye ili washindwe kutushtaki, yaani tujiondoe kwenye MIGA (sijui ndio kitu gani hicho) na akatoa mifano ya mataifa/marais waliowahi kufanya hivyo. Wenye akili chache wana mwelewa Lissu tofauti but wengine tumelinganisha na kile kilicho tolewa kama mapendekezo na ile tume ya pili na kugundua almost vyote alivyokua anaomba Lissu vifanyike ndio hivyo hivyo walivyo sema and hence to me I take Lissu as a hero on this SAGA
Hakuna cha kushitakiwa wala nini na Chairman wao Barrick ameshakubali watatulipa tunachositahiri sasa mwambie Lissu atupeleke mahakamani kwa niaba ya Acacia? Hatujitoe MIGA na lazima watupe sitahili zetu. Tuaachane na vuvuzela Lissu!!
 
huyu chenge ni jizi lililobobea kila kona yumo,mikataba yote mibovu serikali ilisaini kuna mkono wa huyu jamaa,inasikitisha licha ya kashfa zote hizo bado anaendelea hata kuteuliwa kushika nyadhifa mbali mbali km vile hakuna wasomi wengine.pelekeni hii mutu shamba kidogo ikalime
.....Ndo maana alisha wambia kile alichonacho yeye ni VIJISENTI....watu wengi hawakumwelewa. Pengine alimaanisha VIGOGO wengine ndo wenye PESA! Hii ilisababisha kutochukuliwa hatua za Kisheria kwa sababu AKIGUSWA yeye wengine (ambao anawajua) hawatabaki salama....
 
Back
Top Bottom