CHENGE na Uujumu Uchumi wa Tanzania

LeopoldByongje

JF-Expert Member
Apr 28, 2008
372
0
Wadau naona Uhusika wa John Andrew Chenge, Iddris Rashid, Tanil Kumar Somaiya na Shailesh Pragji Vithlani katika Manunuzi ya Radar 1999 ni uhujumu wa Uchumi na inabidi washitakiwe kuhujumu Uchumi wa Taifa. Katika kesi hii Hosea naye aunganishwe.
SFO Report on the Radar Saga

Wanasheria tafadhali msituangushe.
 

Mziba

JF-Expert Member
Feb 7, 2010
245
225
Hivi hili ni jukwaa gani vile?:doh:

Acha tumpe mkuu, kajileta mwenyewe!!!

Kwani mwenzetu LeopoldByongje, unaelewa uko kwenye taaluma gani, alafu tuambie taaluma yako as well. hii itatusaidia tujue tukusaidie vipi. nadhani wadau wahapa Bus & Econ labda wangefikiria point yako. Sasa hivi lengo letu ni kusaidia wafanya biashara na wajasiri mali. ndio twawapa kipao mbele. labda jaribu Jukwaa la wenye hio taaluma!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom