Chenge na Ngeleja kuongoza kamati ya sheria ndogo ya Bunge, najifunza haya

Jamaa anazidi kudistort reputation yake kwa walalahoi. Unajigamba kuwachukia wakati ndo unakula nao, it's kidding!
 
Andrew Chenge na William Ngeleja kaaazi kweli kweli walahi!
Maulana Mola wangu ingilia kati!
Hivi huyo Ngeleja ile pesa aloirudishia serikali mwisho wke ulikuwaje maana ti ara ei walisema haiwajaiona ktk akaunti halafu kikapita kimyaaa mpka leo
 
Makarai yana Shida sana!

Yanaona haifai Mtu Mwenye tuhuma kuongoza Kamati za Bunge lakin wao walimleta Mwenye Tuhuma kutaka apewe Urais


Wote hawajawahi kuhukumiwa na Mahakama lakin kwa Lowassa haina Shida Ila kwa Chenge na Ngeleja ndio shida
 
ila chenge aiseee utamchukia mpaka lini sijui ..kiukweli huyu Mtemi Andrew Chenge ni wakumpenda tu
 
Hii inadhihirisha kuwa Chenge na Ngeleja ndiyo cream ya CCM bungeni.

Mtajiju si mlisema wasukuma nanihiiii subiri muonje shubiri hadi akili iwakae.eti o wasukuma washamba. Mmelianzisha inabidi mlinywe kadamu kaziito bana kuliko maji
 
Tuliwaambia ujamaa unarudi mkabisha eti oooo demokrasia, Labda ya kwako na make wako.China wamemaliza kazi Ji ping Rais wa maisha. Huo Ndiyo ukweli wenyewe, Uganda na Burundi wameonyesha njia.Wajammaa kindaki ndani ni URT unategemea nini ???? Muwe wapole tuuuu.It is just a wind of change.Ujamaa oyeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom