Nasikia UDP wamemkalia vibaya.
We acha kunisemelea mwenzio nitafukuzwa kazijamani tupatieni matokeo ya uhakika huku tupo maofisini tunajifanya busy kumbe tupo ndani ya jf
We acha kunisemelea mwenzio nitafukuzwa kazi
Haya wakuu, yeyote aliyeko Bariadi atujuze hapa!!
huyu mzee na yeye inabidi aachie tu...