Chenge bado hujasafishwa na sfo kama ulivyosema

marshal

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
353
157


KUFUATANA NA KILE ALICHOKISEMA MZEE WA VIJISENTI KUWA AMESHASAFISHWA NA SFO KUWA HAKUHUSIKA KATIKA SAKATA LA RADA KAMA MMOJA WA WAPOKEA RUSHWA,UBALOZI WA UINGEREZA UMEAMUA KUTOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KAMA INAVYOONEKANA.KI UKWELI KWA WATAALAM WA SHERIA WE CAN'T SAY IF HE IS OR NOT GUILITY MAANA HATUJUAI HUKO MAHAKAMANI KUTATOE NINI.
 
Sasa hao takukuru mbona wameshamsafisha? Mimi naona hosea ni mmoja wa hao mafisadi wanaompiga vita sita ili chenge aingie bungeni. Imesukwa hiyo. Tunashukuru ubalozi wa uingereza kwa kutoa ukweli wa mambo. Hebu vijisenti nae ajibu hiyo statement. Hosea nawe toa jibu lako.
 
Back
Top Bottom