Kinyambiss
JF-Expert Member
- Dec 2, 2007
- 1,374
- 72
Ili kuepuka INSTANT MOB JUSTICE angeenda moja kwa moja Kituo Cha Polisi kujisalimisha badala ya kwenda kwanza nyumbani kwake. Kwa hiyo kosa la kukimbia bado liko pale pale, na kukwepa mob justice haiwezi kuwa kisingizio.
JF is the MOB! hii ni ajali tuu. Every1 who has ever been on a Bajaj knows that its not a very good means of transport in so far as safety is concerned. Ukigonwa na VX ana Range Rover ama ile Pick Up ya Chenge atakuua tuu na jinsi zinavyokimbia.. (bajaj) na huwa hazifuati sheria. Its not likely that someone like Chenge was driving like a maniac (mshua yule and I've seen him drive) hana mambo ya utoto katika hilo.. SO unless he was intoxicated I find it difficult to lay blame.. Hatuna facts so acheni tabia yaku hukumu watu bila ata ushahidi...
Kajisalimisha polisi mnasema amekimbia..that is Bull-S.. Ingekuwa tabu kama JF ingepewa serikali leo... Draconian state..