Chenge anamiliki majumba 9 ya kifahari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chenge anamiliki majumba 9 ya kifahari!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Aug 1, 2011.

1. BONGOLALA

BONGOLALA JF-Expert Member

#1
Aug 1, 2011
Joined: Sep 14, 2009
Messages: 13,785
Likes Received: 2,395
Trophy Points: 280
Ana magari madogo 9 malori scania 2 mabilioni ya fedha benki mbalimbali,ana hisa ktk kampuni kubwa 9.source gazeti dira ya mtanzania leo

2. Imany John

Imany John Verified User

#2
Aug 1, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 2,777
Likes Received: 262
Trophy Points: 180
hata Jengo La TaKUKURU dodoma ni lake.

3. Kombo

Kombo JF-Expert Member

#3
Aug 1, 2011
Joined: Oct 29, 2010
Messages: 1,819
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
Tatizo ni nini?

Nini cha kujadili hapo?

4. Mzito Kabwela

Mzito Kabwela JF-Expert Member

#4
Aug 1, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 17,520
Likes Received: 1,691
Trophy Points: 280
Ana ghorofa moja ya maana Mwanza maeneo ya Isamilo

5. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#5
Aug 1, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Watanzania bana! mwacheni na hela zake

6. Mawenzi

Mawenzi JF-Expert Member

#6
Aug 1, 2011
Joined: Sep 21, 2010
Messages: 1,261
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
Mkuu, hii ni taarifa, yaani tunajuzana tu. Lkn hata kujadili tunaweza. Chenge amekuwa mtumishi wa umma, amepata wapi huo utajiri? Siyo mfanya biashara. Je hili halifai kujadili??

7. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#7
Aug 1, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,479
Likes Received: 12,758
Trophy Points: 280
Duuu ingekuwa china angekiona cha mtemakuni,

8. Kombo

Kombo JF-Expert Member

#8
Aug 1, 2011
Joined: Oct 29, 2010
Messages: 1,819
Likes Received: 12
Trophy Points: 0

BONGOLALA alipaswa kuanzisha udadisi huo!

9. Zing

Zing JF-Expert Member

#9
Aug 1, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 1,780
Likes Received: 21
Trophy Points: 0
Kama kulikuwa na tatizo lolote lile ambalo lingemuweka hatiani kirahisi basi
• kwa uzoefu wake wa sheria na wanasheria wake
• Kwa muda ambao serikali imemuacha akitanua
Atakuwa kisharekebisha document zote na kishajipanga kwa majibu . Kifupi muda aliopewa ameshapoteza ushaidi au kufanya ushahidi kuwa mgumu zaidi kwa upande wa mashtaka.

Mfano vile vijisenti alivyomiliki kule majuu alisema ni vya NGO. nani alihoji au kuchunguza kujua ni NGO gani iko wapi na inafanya nini?.....

JK ataendela kucheza sarakasi nakina mramba, . Cheo cha AG alichokamata chenge kinatosha kuwa kinga kubwa kwake.( Anajua mengi..) kama vile cheo cha Rais, PM vilivyo kinga no matter madudu mtu aliyofanya.

10. Mkiliman

Mkiliman JF-Expert Member

#10
Aug 1, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 957
Likes Received: 61
Trophy Points: 45

Chenge is a public figure and servant,anapokuwa na ukwasi wa kupitiliza lazima wananchi wahoji tena ni haki na wajibu wao kudadisi utajiri wa watumishi waliopewa majukumu ya kufanya kazi za wananchi.

Kiongozi anayejilimbikizia mali,mbadhirifu, mwizi,malaya, mzembe na mtenda maovu mengine ni adui wa wananchi na mvunjaji wa katiba ya jamhuri na sheria za maadili ya umma!

11. K

Kithuku JF-Expert Member

#11
Aug 1, 2011
Joined: Nov 19, 2006
Messages: 1,395
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
Simuungi mkono Chenge katika zile tuhuma zake, lakini sikubaliani katu na nyie mnaotaka kutuaminisha kuwa mtumishi wa umma haruhusiwi kuwa na mali. Kwa hiyo ni wafanyabiashara tu ndio wanaopaswa kuwa na mali, sisi wengine hapana? Nakataa nakataa nakataa!

12. BONGOLALA

BONGOLALA JF-Expert Member

#12
Aug 1, 2011
Joined: Sep 14, 2009
Messages: 13,785
Likes Received: 2,395
Trophy Points: 280
alilipwa mafao sh 250M tuu!jee huo utajiri kapata wapi?

13. Zing

Zing JF-Expert Member

#13
Aug 1, 2011
Joined: Jun 24, 2009
Messages: 1,780
Likes Received: 21
Trophy Points: 0

Tatizo sio umiliki wa mali tatizo je wanafuta sheria na taratibu. Mfano fuatilia mali walizonazo vigogo lafu alnagalia na zile ziliondikishwa wenye daftari la tume ya maadili ya viongozi........

Wengine wnaaunganisha unganisha kampuni kuficha ID zao nyuma ya mgongo wa familia au watoto. Lakini kwa unchunguzi makini mtu unajua something is wrong somewhere

Sasa kama mtu ana mali halali kwa nini hasemi nina accunt yenye US $ kadhaa iko uswisi au US au UK? Au Tanzania tuna matajiri wengine wanasahu hadi asset zao? Binafsi siwezi kushangaa kusikia jibu kama hili kuwa siku najaza nilisahau baadhi ya mali zangu

14. Kombo

Kombo JF-Expert Member

#14
Aug 1, 2011
Joined: Oct 29, 2010
Messages: 1,819
Likes Received: 12
Trophy Points: 0

Siungi mkono utajiri wake, nataka tufahamu kwamba huyu Bwana ni Mwanasheria na ni Wakili pia (Si aliwahi kutajwa kuiwakilisha Dowans katika madai fulani miezi miwili mitatu hivi iliyopita?), hivi huko kwenye Uwakili halipwi kitu chochote?

Sijasoma hiyo habari huko kwenye source yake lakini sina shaka kuwa haina uchambuzi wa kutosha.

15. Kombo

Kombo JF-Expert Member

#15
Aug 1, 2011
Joined: Oct 29, 2010
Messages: 1,819
Likes Received: 12
Trophy Points: 0

Maadili ya Utumishi wa Umma! Hivi bado yanazingatiwa kweli? anayeyavunja anachukuliwa hatua gani vile?

16. zomba

zomba JF-Expert Member

#16
Aug 1, 2011
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,081
Likes Received: 49
Trophy Points: 0

Nadhani humjui Chenge. Chenge ni tajiri toka baba yake. Baba yake alikuwa na Ng'ombe wengi kuliko Mtanzania mwingine yoyote yule, inawezekana kabisa kuwa alikuwa ni mtu mwenye Ng'ombe wengi katika Afrika.

17. nyabhingi

nyabhingi JF-Expert Member

#17
Aug 1, 2011
Joined: Oct 12, 2010
Messages: 10,898
Likes Received: 5,360
Trophy Points: 280
same story tunaambiwa kuhusu baba'ke lowassa,..ng'ombe,ng'ombe,ng'ombe...kwa hiyo ndo kusema aliuza ng'ombe wote akapata hizo billions??you sound like lowassa!!say it ain't so!!!!

18. T

The Priest JF-Expert Member

#18
Aug 1, 2011
Joined: Dec 8, 2010
Messages: 1,026
Likes Received: 23
Trophy Points: 135
Flora hiyo avatar yako inatia kichefuchefu,em itoe bwana,ila kama ni bibi yako iache

19. Fidel80

Fidel80 JF-Expert Member

#19
Aug 1, 2011
Joined: May 3, 2008
Messages: 21,976
Likes Received: 104
Trophy Points: 145
Kumbe nae mwekezaji hongera mzee Chenge

20. The Emils

The Emils JF-Expert Member

#20
Aug 1, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 570
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Chenge bwana..hayo yote bado kaviita vijisenti tu..wakati mimi hapa buku ya kula leo mchana sijui wapi nitapata ila poa tu hii ndio tz bwana

Loading...