Chenge adanganya mahakama;aleta bima ya gari nyingine mahakamani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,138
Wapendwa mliosoma magazeti ya jana na juzi
nimeshangaa kuona mzee wetu chenge akikanwa na kampuni ya bima alioleta mahakamani
na kuambiwa aijatoka kwake na hiyo alioleta na ya gari aina ya PAJERO na sio hiyo gari yake
akasema hiyo gari iko osterbay na ilipata ajali miaka miwili iliopita na ameshalipwa

Je wanasheria hii ni kesi juu ya kesi ama na adhabu yake nini kuiletea mahakama bima ya mtu mwingine??
 
Je hamjui kuwa Mhe AC ni Mwenyekiti wa Kamati ya KUDUMU ya Nidhamu ya Chama Tawala? Nani atamgusa. Jaribu uone; thubutu. Ni moto wa kuotea mbali. Wajameni hawezekaniki huyo!!!!!!! ni Chuma cha PUA.!!!!! Mhhhhh Ebu ngoja kidogo; Naona Mungu anataka kutuonesha kuwa kila mtenda maovu huwa na mwisho. Hata kama atatumia wadhifa wake CCM na hata akitumia vijisenti vilvyoko benki za nje labda; sijui. Tuzidi kumshukuru Mungu na kumtukuza kuwa yeye ni wa ajabu na wa Milele. AMEEEN!!!!!!!!!!!!!!
 
Wapendwa mliosoma magazeti ya jana na juzi
nimeshangaa kuona mzee wetu chenge akikanwa na kampuni ya bima alioleta mahakamani
na kuambiwa aijatoka kwake na hiyo alioleta na ya gari aina ya PAJERO na sio hiyo gari yake
akasema hiyo gari iko osterbay na ilipata ajali miaka miwili iliopita na ameshalipwa

Je wanasheria hii ni kesi juu ya kesi ama na adhabu yake nini kuiletea mahakama bima ya mtu mwingine??

Eti huyo alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali!! Hivi vyeo wanapeana kiushikaji tu na kichwani hamna kitu!!! Ohh nimekosea alikuwa busy kuangalia maslahi yake yatokanayo na mikataba mibovu ambayo ni sawa na kuuza rasilimali za taifa kwa kuwa tu naye alipata mgawo mkubwa. Puuuuu.......... mbaaaa.....fuuuuuuu. Ni fisadi hili. Hivi hao wanaoendesha mashtaka hawawezi kumfungualia kesi ndani ya kesi ya kughushi? Au sema kampuni yenyewe ya bima imfungulie kesi? Hana akili na heshima huyu jitu la tujisenti. Yaani waliripoti ule ushahidi kwenye taarifa ya habari nikataka niamke nirushe ngumu kumbe nikagundua ni TV ningevunja bure, mwenzangu akanituliza!!!

Akishindwa kesi ya msingi ya kutokuwa na Bima, serikali ina wajibu wa kumshtaki upya kwa kuleta vidhibiti vya uongo?
 
Back
Top Bottom