'Chenga' ya Lissu yawachanganya 'walimpania' kuvuruga mapokezi yake, wapangua mipango yao kwa taabu kubwa

Tanzania ni nchi takatifu ,ni marufuku msaliti kukanyaga aridhi hii
Na uzao huu pia hatuutaki Tanzania.
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
wewe mwenyewe ni SHOGA ndio maana unajua balozi wwako haya niambie ulienda kwenye kikao alichoitisha shoga mwenzako B a s h i t e
Hilo ni choko kitambo sana hata wazazi wake wameshampiga marufuku kukanyaga kwao alianza kamchezo akiwa mdogo sana.
 
Makao Mkuu ya CCM Dodoma kulizizima na kusheheni mipango ya viwango mbalimbali juu ya ujio wa Mwanasiasa Tundu Lissu aliyetarajia kurejea nchini Jumamosi ijayo, Septemba 7 mwaka huu. Ilipangwa mipango ya 'kuharibu' na 'kufifisha' mapokezi yake Uwanja wa Ndege Dar es Salaam kupitia makada wa CCM. ZILIPISHANA nyaraka za haraka na maagizo yenye vibwagizo kuhusu jambo hilo.

Makada wa CCM walipanga kuwasilisha barua leo POLISI kuomba kibali cha maandamano ya amani ya tarehe 7 Septemba mwaka huu kuunga mkono juhudi za Mawakili wa Serikali kuipambania ndege yetu inayoshikiliwa kwa amri ya Mahakama huko nchini Afrika ya Kusini. Kuwasilishwa kwa maombi hayo POLISI kungepelekea kupigwa marufuku maandamano na mkusanyiko wowote ule tarehe hiyo na nyingine kwa sababu za kiintelijensia.

Makada walijipanga kukubaliana na uamuzi wa POLISI haraka ikiwa na baraka na kujitokez kusisistiza umuhimu wa kutii sheria na maelekezo ya POLISI bila shuruti, baruti wala mashuti. Makada wangejiandaa kuona jinsi 'wapokeaji' wa Lissu wangesambaratishwa kwa Ilani ya POLISI na hivyo wao kukenua kwa furaha isiyo na karaha. Mipango ilipangika barabara.

Jana, akihojiwa na BBC, Lissu alisema kuwa safari yake ya kurejea nchini iliyokuwa ifanyike tarehe 7 Septemba mwaka huu haitawezekana kwakuwa Daktari wake amesema anahitaji kumuona tarehe 1/10/2019 na 18/10/2019 na hivyo safari yake itakuwa baada ya hapo. Kutokana na ahirisho hilo la safari ya Lissu, 'waliopania kuvuruga mapokezi yake' wamelazimika kupangua mipango yao kwa tabu na aibu kubwa.

Kila mpango mpya utakaosukwa utaanikwa hapahapa JF!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma, Tanzania)

Sina Chama. Lakini Vijana Wa CHadema mnapotea sana. Kila mkiamka mna andiko la nyumba jirani. Ya kwenu mtayandika lini. Mana siku Zote usiusemee moyo Wa mwenzako. Utakuwa hulali wenzako wanakoroma kwa afya
 
Makao Mkuu ya CCM Dodoma kulizizima na kusheheni mipango ya viwango mbalimbali juu ya ujio wa Mwanasiasa Tundu Lissu aliyetarajia kurejea nchini Jumamosi ijayo, Septemba 7 mwaka huu. Ilipangwa mipango ya 'kuharibu' na 'kufifisha' mapokezi yake Uwanja wa Ndege Dar es Salaam kupitia makada wa CCM. ZILIPISHANA nyaraka za haraka na maagizo yenye vibwagizo kuhusu jambo hilo.

Makada wa CCM walipanga kuwasilisha barua leo POLISI kuomba kibali cha maandamano ya amani ya tarehe 7 Septemba mwaka huu kuunga mkono juhudi za Mawakili wa Serikali kuipambania ndege yetu inayoshikiliwa kwa amri ya Mahakama huko nchini Afrika ya Kusini. Kuwasilishwa kwa maombi hayo POLISI kungepelekea kupigwa marufuku maandamano na mkusanyiko wowote ule tarehe hiyo na nyingine kwa sababu za kiintelijensia.

Makada walijipanga kukubaliana na uamuzi wa POLISI haraka ikiwa na baraka na kujitokez kusisistiza umuhimu wa kutii sheria na maelekezo ya POLISI bila shuruti, baruti wala mashuti. Makada wangejiandaa kuona jinsi 'wapokeaji' wa Lissu wangesambaratishwa kwa Ilani ya POLISI na hivyo wao kukenua kwa furaha isiyo na karaha. Mipango ilipangika barabara.

Jana, akihojiwa na BBC, Lissu alisema kuwa safari yake ya kurejea nchini iliyokuwa ifanyike tarehe 7 Septemba mwaka huu haitawezekana kwakuwa Daktari wake amesema anahitaji kumuona tarehe 1/10/2019 na 18/10/2019 na hivyo safari yake itakuwa baada ya hapo. Kutokana na ahirisho hilo la safari ya Lissu, 'waliopania kuvuruga mapokezi yake' wamelazimika kupangua mipango yao kwa tabu na aibu kubwa.

Kila mpango mpya utakaosukwa utaanikwa hapahapa JF!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma, Tanzania)
cc..... wajinga wote wa lumumba akiwemo chairman wa SADC
 
Walimu masikini wote ni Div 0, what do you expect from such mentally dull teachers! UALIMU PASIPO ELIMU
CCM mafala tu ngoja tuone wale watumishi wakupongeza juhudi za meko hiyo trh 7 na wale walimu wasiojitambua badala waandamane kulipwa stahiki zao na malimbizo ya mishahara ya miaka nenda rudi wanaandamania ujinga wa ccm
 
Mungu anazildi kutenda miujiza juu yake, na kuwaaibisha watesi wake.
 
Makao Mkuu ya CCM Dodoma kulizizima na kusheheni mipango ya viwango mbalimbali juu ya ujio wa Mwanasiasa Tundu Lissu aliyetarajia kurejea nchini Jumamosi ijayo, Septemba 7 mwaka huu. Ilipangwa mipango ya 'kuharibu' na 'kufifisha' mapokezi yake Uwanja wa Ndege Dar es Salaam kupitia makada wa CCM. ZILIPISHANA nyaraka za haraka na maagizo yenye vibwagizo kuhusu jambo hilo.

Makada wa CCM walipanga kuwasilisha barua leo POLISI kuomba kibali cha maandamano ya amani ya tarehe 7 Septemba mwaka huu kuunga mkono juhudi za Mawakili wa Serikali kuipambania ndege yetu inayoshikiliwa kwa amri ya Mahakama huko nchini Afrika ya Kusini. Kuwasilishwa kwa maombi hayo POLISI kungepelekea kupigwa marufuku maandamano na mkusanyiko wowote ule tarehe hiyo na nyingine kwa sababu za kiintelijensia.

Makada walijipanga kukubaliana na uamuzi wa POLISI haraka ikiwa na baraka na kujitokez kusisistiza umuhimu wa kutii sheria na maelekezo ya POLISI bila shuruti, baruti wala mashuti. Makada wangejiandaa kuona jinsi 'wapokeaji' wa Lissu wangesambaratishwa kwa Ilani ya POLISI na hivyo wao kukenua kwa furaha isiyo na karaha. Mipango ilipangika barabara.

Jana, akihojiwa na BBC, Lissu alisema kuwa safari yake ya kurejea nchini iliyokuwa ifanyike tarehe 7 Septemba mwaka huu haitawezekana kwakuwa Daktari wake amesema anahitaji kumuona tarehe 1/10/2019 na 18/10/2019 na hivyo safari yake itakuwa baada ya hapo. Kutokana na ahirisho hilo la safari ya Lissu, 'waliopania kuvuruga mapokezi yake' wamelazimika kupangua mipango yao kwa tabu na aibu kubwa.

Kila mpango mpya utakaosukwa utaanikwa hapahapa JF!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma, Tanzania)
Daaaah kama ndio hivyo lisu nae kaharibu angetakiwa aseme tarehe hiyo hiyo hataweza kufika baada ya hawa kutoa la kwao hapo ndio lingewashuka shuuu
 
Wewe nae1 sisi tulijua hawezi kuja, na ninakuhakikishia hata baada ya hizo tarehe hatakuja kama mnavyofikiria. Chezea ndevu sio serikali.
Hizo Serikali ni ngapi zilianguka!!!? Kama Napolion alianguka, naye Hitler na mwenzi wake Mussolini wakafa kama mende, unatamba nini Sasa!!? Mhe. Lisu atarudi nchini mwake, na Mungu aliyemwokoa na risasi 38 hajafa, Yu hai milele na milele.
Itakayoanguka ni hiyo serikali yako ya kikatili iwapo itaendelea na mipango yake miovu dhidi ya raia wema mfano wa Lisu. Mungu Mwenyezi aliyemwokoa Lisu, ameipa onyo hiyo Serikali, na kama itazidisha kiburi, iwe tayari kuikabili hasira ya YAHWE.!!!
 
"Watapambana lakini hawatoshinda"

Mungu mbariki Tundu Lissu na walaani wote waliotekeleza mpango wa kumdhuru na kumvua ubunge wake akiwemo Ndugai
 
Nilisema humu Hii countdown haitamsaidia Lissu sana sana mtaharibu
Nilipewa za kichwa nikasema poh
Lissu alikuwa na hizo taarifa ndio maana ilibidi afanye alichofanya
ccm mna roho mbaya kha!
Uhai wa mtu mnaona kama uhai wa mbuzi kweli
Mungu atawaadhibu tu ipo siku
 
Makao Mkuu ya CCM Dodoma kulizizima na kusheheni mipango ya viwango mbalimbali juu ya ujio wa Mwanasiasa Tundu Lissu aliyetarajia kurejea nchini Jumamosi ijayo, Septemba 7 mwaka huu. Ilipangwa mipango ya 'kuharibu' na 'kufifisha' mapokezi yake Uwanja wa Ndege Dar es Salaam kupitia makada wa CCM. ZILIPISHANA nyaraka za haraka na maagizo yenye vibwagizo kuhusu jambo hilo.

Makada wa CCM walipanga kuwasilisha barua leo POLISI kuomba kibali cha maandamano ya amani ya tarehe 7 Septemba mwaka huu kuunga mkono juhudi za Mawakili wa Serikali kuipambania ndege yetu inayoshikiliwa kwa amri ya Mahakama huko nchini Afrika ya Kusini. Kuwasilishwa kwa maombi hayo POLISI kungepelekea kupigwa marufuku maandamano na mkusanyiko wowote ule tarehe hiyo na nyingine kwa sababu za kiintelijensia.

Makada walijipanga kukubaliana na uamuzi wa POLISI haraka ikiwa na baraka na kujitokez kusisistiza umuhimu wa kutii sheria na maelekezo ya POLISI bila shuruti, baruti wala mashuti. Makada wangejiandaa kuona jinsi 'wapokeaji' wa Lissu wangesambaratishwa kwa Ilani ya POLISI na hivyo wao kukenua kwa furaha isiyo na karaha. Mipango ilipangika barabara.

Jana, akihojiwa na BBC, Lissu alisema kuwa safari yake ya kurejea nchini iliyokuwa ifanyike tarehe 7 Septemba mwaka huu haitawezekana kwakuwa Daktari wake amesema anahitaji kumuona tarehe 1/10/2019 na 18/10/2019 na hivyo safari yake itakuwa baada ya hapo. Kutokana na ahirisho hilo la safari ya Lissu, 'waliopania kuvuruga mapokezi yake' wamelazimika kupangua mipango yao kwa tabu na aibu kubwa.

Kila mpango mpya utakaosukwa utaanikwa hapahapa JF!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma, Tanzania)
Kaka hujawahi kutuangusha kwa lolote
 
Back
Top Bottom