Chemsha bongo

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
823
1.------------Ni neno refu la kiingereza ambalo ukitype kwa kutumia keyboard ya computer utatumia mstari mmoja tu wa herufi ambao ni wa kwanza(mstari wenye herufi;
P,O,Q,W,E,R,T,U,Y,I)

2.Nilikuwa na a,e,i,o,u, nikatoa a,e,i,o,u.Je nitabakiwa na herufi gani?

3.Kitunguu swaumu kwa kiingereza ni----------------

4.----------Ni neno pekee la kiingereza linaloishia na herufi hizi "MT".

5.Binadamu ana milango mingapi ya fahamu?Itaje.

Mnakaribishwa chemsha bongo zenu na majibu pia nyote mnakaribishwa.
 
1. Typewriter

2. Hutabakiwa na herufi yoyote.

3. Garlic

4. Sijui

5. Binadamu ana milango mitano (5) ya fahamu, nayo ni: ulimi, pua, macho, masikio na ngozi.
 
1. Typewriter

2. Hutabakiwa na herufi yoyote.

3. Garlic

4. Sijui

5. Binadamu ana milango mitano (5) ya fahamu, nayo ni: mdomo, pua, macho, masikio na ngozi.
hilo la pili herufi itakayobaki ni o means zero!
 
Back
Top Bottom