Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Nitajibu lakini mpaka nipate Watu kumi kama wewe ambao hawajuwi hii sehemu gani hapo Dares-salaam mjini ninje kidogo ya Mji hahahahahhahahahahahmmmmmh, sijui kwa kweli...
Waswahili husema ukimchunguza kuku? Hutaweza kumla wewe kula tu madamu hakidhuru kulaNilipita pale kwenye ma flat ya URAFIKI Shekilango wanalima sana bustani pale lkn hayo maji wanayomwagilia nadhani ni maji ya sewage maana ni MEUSi yananuka balaa. Mh hizi mboga za mjini basi tu mungu anatunusuru
Umeshindwa bibie russianroulette? kulijibu chemsha bongo yangu?tupe nyeti basi tujaribu...
Kuna rafiki yangu kanambia ni kitunda, njia panda ya kivule... lol I hope hajanidanganya...Umeshindwa bibie russianroulette? kulijibu chemsha bongo yangu?
hahahhahahh Umeshinda kweli wewe chemsha bongo yangu Mshindi ni weweKuna rafiki yangu kanambia ni kitunda, njia panda ya kivule... lol I hope hajanidanganya...
Kinamama wafanyabiashara ya mbogamboga wakifanya shughuli hiyo eneo la Kitunda, njia panda ya Kivule, Dar es Salaam jana. Fungu moja huuzwa kati ya sh. 200 hadi 300. |
swali limesha jibiwa hilo...MM.ungepunguza ugumu wa swali lako ujue dar ni kubwa ungeweka mazingira labda ungesema hii sehemu ipo Temeke au Ilala
machakani tena???.....lakini inaweza kuwa sawa kwa maana huyu mwenzetu Mzizi mkavu ni mganga wa kienyeji na ndugu yake shehe yahaya!!!mwandishi likosea, hapo ni tegeta machakani
Una maana gani mbona kuwa zimenona?daaaah kuuumbe ndo mana mboga zimenona kweeeli