Chemsha bongo: Thibitisha hapa kuwa wewe una vyeti orijino

Hapa ndo tutawajua
1. Wajasiriamali halali,
2. Wanaouza maduka ya shemeji zao,
3. Marioo waliofunguliwa maduka na majimama yao,
4. Wenye vioski,
5. Wanaovuta bhangi karibu na maduka ya watu.

Karibuni....
 
haya sasa nafumga mkata,
kwa walio sema jibu 20, 000/= check masahhsho hapa na usipo elewa hapa, baaaasi

tapeli kaja na elfu 10 feki anataka mkate wa elfu 2, kutokana na muuza mikate hana change ya elfu 10 anaenda kuomba kwa jirani.. "kumbuka hapo muuza ajagusa kapu lake la hela hata kidogo anaangaika na elfu 10 feki kuomba change"
baada ya muuza kupata change ya elfu 10 ambayo kiualisia ni ya jirani anarudi dukani anatoa mkate wa elfu 2 na elfu nane kama change ya tapeli, hapo tapeli anakuwa kafanikiwa kutapeli mkate wa bure elfu 2 na change ya bure elfu 8 jumla elfu 10
tukirudi kwa muuza ukumbuke ile hela aliyoitumia sio yake ata kidogo ni ya jirani alipo enda kuomba change, sasa kidogo jirani anakuja kumwambia muuza, bwana hii elfu 10 ni fake... hapa sasa muuza ndio anaingia mfukoni kutoa elfu 10 yake kurudishia jirani
kwenye huo mzunguko wote, elfu 10 iliyokuwa inatumika ni ya jirani na mwisho kabisa muuza ndo anamrudishia jirani elfu 10 yake...
jibu ni elfu 10.. ndio hasara aliyoipata muuza mkate

na kama jirani asingejua kama ile elfu ni fake basi hasara ilikuwa ni kwa jirani tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom