Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo inategemea,Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
Nilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
Clarity ajambo..!
wa wapi tena?Clarity ajambo..!
Mwanao..!wa wapi tena?
mmh hapana simfahamuMwanao..!
Sure!mmh hapana simfahamu
Hapo inategemea,
Maana kwa muda wote huo toka miaka 6-70 (imepita miaka 64) huyo dada yako bado yuko hai tu Mungu hajamchukua??
Ningejibu ila tatizo sipendi kuingilia mambo ya familia za watuNilipokua na miaka 6 Dada yangu alikua na nusu ya miaka yangu, sasa Nina miaka 70 Dada angu atakua na umri gani???
hahahahaaaAtakuwa na nusu ya miaka yako.