Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Je, katika kanuni za physics kiti hiki kinawezekana? Kama ndiyo kwa nini na kama hapana ni kwa nini?Zawadi nono itatolewa kwa atakaepatia jibu!
Umesoma swali?Nimesema ukisema hapana utoe na sababu.Hapana
Umesoma swali?Nimesema ukisema hapana utoe na sababu.Haiwekezani
Kuna mambo matatu hapa:Je,katika kanuni za physics kiti hiki kinawezekana?Kama ndiyo kwa nini na kama hapana ni kwa nini?Zawadi nono itatolewa kwa atakaepatia jibu!View attachment 1746092
🤣🤣🤣
HahahahahaaaHapo akikalia demu mwenye chura kitaanguka.
Kiti hakijaning'ninizwa juu kwa kamba ambazo ni transparent.Kielezee kama unavyokiona.Kuna mambo matatu hapa:
1. Hiyo cheni imechomwa kwa welding kwa hiyo ni rigid.
2. Hiyo frem ya chini iko bolted na hivyo hicho kiti kimening'ininzwa juu chini(upside down)
3. Kiti kimening'inizwa kwa kutokea juu kwa kamba ambazo ni transparent